Kilikuwa kilio chako mkuu,sio cha wengi,unajifariji.Magufuli kwa kuwa aliji-identify na wananchi wa kawaida,he was loved by them.Unaweza kulithibitisha hili kufuatana na maongezi yao,tuwe wakweli tu.Kwanza Mungu hata siku moja hatoi roho kwa namna Magufuli alivyokufa.Nothing justifies killing in the eyes of God.Kutoa roho ni kitendo ambacho kipo reserved to God only.
Kwanza naomba ukumbuke kwamba hata kiongozi mwovu sana,Mungu anamuweka kwa malengo yake:kuadhibu waovu,ingawa Magufuli hakuwa mwovu.Wale wanaopenda kuchukua haki za wenzao ndio waliomchukua, including you it seems.