zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha kupotosha, nchi inaweka focus kwenye umeme wa Gesi hata hiyo Kinyerezi extension na Kinyerezi 3 itakua kwa ajili ya kufua gesi kuanzia mwakani. So strategy ni kwamba tusitegemee umeme wa Maji ambao hauko certain.Mwanzon alisema mvua zikianza bwawa likaingoaaji mgao utakua ndoto
Sahv anasema itachukua misimu miwili ya mvua mpka bwawa lijae maji[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watu hamtaki kusikia nyie mmekariri tu kuwa kama stiegler haijaanza basi ni mgao kwenda mbele!! Alternative za short term solution yaani hamtaki hata kuona!!
Sijawahi ku support CCM ila tuwe optimistic kwenye mambo serious