Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Hakuna mpinzani mjinga hivyo labda wewe.
Basi utakuwa mpinzani lege lege,, mpinzani shupavu lazima apinge kwa nguvu zote maendeleo, kwani yanawaongezea kura ccm,
😂,Si uliona tulivyopinga mradi wa gezi mtwara, enzi za jk,, bila mbinu hizi hata ubunge hatuta ambulia🤷🏽‍♂️
 
Haka kajamaa ni kashenzi sana,kanalipa kisasi baada ya kuwekwa kando kwa takriban miaka 3
 
Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!

Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
Recycling imewezekana Kihansi kule Mlimba tuu, kwingine huko tusidanganyane. Wajenzi wenyewe Misri, itawezekana?
 
itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji
Rufiji River (at Stiegler's Gorge) catchment area is 158,000 square kilometer while it's annual discharge is 897 cubic meter per second.
1 cubic meter of water is equal to 1000 litres.
===
Do the maths as you have the important data. Ha ha hahahaha AAA!!!

Mvua ni deterministic au ni stochastic?
 
Ukisikia duniani kuna mambo, Tanzania ni zaidi. Wajuzi wamekosoa sana ujenzi wa bwawa hili. Makamba anapofikia msumari wa mwisho. Miaka 2 kujaza bwawa lakini hayo maji kutumika kwa mwaka mmoja! Pakiwa na ukame wa miaka 2 bwawa halifanyi kazi. Dunia ya leo umeme wanawekeza kwenye gas, maji moto, upepo na nyuklia. CCM mnatuangusha.
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Sasa unakoelekea Makamber utajaza hilo bwawa kwa mikono ww na mshua ako ambae hana dhambi uwez kutuchezea kias hiki
 
Back
Top Bottom