Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Anazungumzia kwa kulingana na mwenendo wa utabiri wa kiwango Cha mvua.

Kwa hiyo kosa lake Ni kukuambia ukweli au? Si mlikuwa mnasema bwawa halitakamilika ndio Hilo Sasa.

Rais muache January hapo hapo Hadi bwawa likamilike ili wale haters wake waaibike
Wewe ni wale msiostahili ktk maendeleo ya taifa hili
 
Nimeelewa kuwa litakapojaa BWAWA Yeye hatokuwepo nafasi hiyo.
 
Kujaza bwawa misimu miwili lita 33.2 bln. Mitambo yote ikiwashwa, lita 33.2 bln, zitatumika kwa msimu mmoja. 1. Kuna mitambo mingapi? 2. Kuna uwezekano wa kuwasha mitambo mingapi (siyo yote) ili maji yasiishe kwa msimu mmoja?
 
MKUU,marope!

Si tunaweza Tumia majenereta kujaza Bwawa!?

Au Ndio mgao uendelee ili tutumie nishati mbadala ule mtambo ulionunuliwa na Tanesco!!?

Bas sawa
 
Kulijaza misimu miwili ya mvua, lakini likijaa, maji yatatumika kuendesha mitambo kwa mwaka 1!

Maana yake ni kuwa kuna wakati lirakuwa tupu bila maji, na hivyo mgao kuendelea.
Nope yaani bila kuongeza hata tone that capacity can last for a year producing...

Kama ndio hivyo ni jambo jema na kama wangekuwa kweli wanataka kusaidia nchi wangefuata ushauri wangu (wala wasingetegemea tena maji kutiririka sababu hayo maji yaliyopo yangeweza kutumika mara kadhaa na kuongeza kiasi kidogo sana bila kuathiri wengine huko chini ya mkondo

 
Kulijaza misimu miwili ya mvua, lakini likijaa, maji yatatumika kuendesha mitambo kwa mwaka 1!

Maana yake ni kuwa kuna wakati lirakuwa tupu bila maji, na hivyo mgao kuendelea.
Maana yake ni kuwa hata ikitokea mvua isinyeshe ndani ya mwaka husika, bado umeme utazalishwa kwa kutumia generator zote.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.[emoji848][emoji2827]
Maana au mantiki ya kauli ya waziri ni nini hasa?

Kwamba, uzalishaji wa umeme wa bwawa hilo utaanza baada ya miaka miwili yaani hadi 2025 bwawa likishajaa..?

Na anasema hata likishajaa maji hayo yaweza kuendesha mitambo yote kwa mwaka mmoja tu. Then, baada ya hapo maji yanaisha au..??

Whoever has understood the guy, he/she can clarify this now...
 
hata bwawa likianza kazi kama waziri wa nishati atakua huyu jamaa bado mgao utakuwepo,kwanza huyu jamaa ni muongo siamini jambo lolote kutoka kwake.
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.

Wanabonyeza kitufe cha kujaza maji bwawani tarehe 22.12.22, kuweni makini na huyu Waziri kinaweza kubonyezwa nusu ili kuhujumu mradi mzima maana ana negativity sana na hilo bwawa
 
Back
Top Bottom