Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Kwamba Jiwe hakuwa muovu! Mpaka hapo tu inatosha kujua wewe ni mtu wa aina gani. Tisishangae kuna watu wanaweza kuwa wanakuita Baba au mume.
 
🤔
Hata Jiwe na yeye ni hayati? Utakuwa uko kwenye lile kundi mnalojiita wanyonge
Mimi sio mnyonge,kwa maana ya maskini,ila nawapenda maskini,na ningekuwa naweza, ningewatoa wote kwenye umaskini overnight.

Labda nikuambie kitu ambacho hukijui,Magufuli alitumia neno "wanyonge" kama kuonyesha huruma kwa maskini.Unfortunately wengi wanaoitwa viongozi wetu ni manyang'au,hawana huruma kabisa kwa maskini.

Wamefika mahali sasa shida za wananchi sio kitu kabisa kwao,infact sioni tofauti yeyote kati yao na the Israel Synagogue of Satan wanaoua Wapalestina mchana kutwa.Ni Watanzania wangapi leo wanakufa kwa kukosa huduma za msingi kabisa,wengi tu, lakini kakuna anayejali kabisa,viongozi wanajijali wenyewe,familia zao na ndugu zao tu,inauma sana.Magufuli alikuwa tofauti kabisa,he cared for the poor.R.I.P Magufuli.
 
Sawa mkuu,baada ya kuwaita wanyonge kwasaidia nini kutoka huko kwenye unyonge?
 
Sawa mkuu,baada ya kuwaita wanyonge kwasaidia nini kutoka huko kwenye unyonge?
Alikuwa kwenye process ya kuwatoa kwenye umaskini kwa ku-direct resources kwenye miradi ambayo imgewatoa huko.Manyang'au hayakupenda kitu hicho, kwa kuwa walitaka resources hizo for themselves,so they eliminated him.

Mkuu haya mambo yanauma sana.Inauma sana kwa kuwa watu hao hao waliomu-eliminate Magufuli,ndio hao hao walioko madarakani leo.Are we safe? Surely not,hata sisi tupo kwenye hit list,ni swala la muda tu.
 
So miaka yote mitano ya kuwaita kuwa nyie ni wanyonge alikuwa kwenye process ila hajawafanyia chochote cha kuwatoa huko zaidi ya yeye kuwa kwenye process? Jaribu kuwa serious kidogo. Umasikini ni laana, kamwe acha kujisifia umasikini,amewaita wanyonge mpaka kafa ila hakuna la maana alilowafanyia zaidi ya kuwa kwenye process kama ulivyosema 😀😀😀
 
Five years ni kidogo sana kumtoa mtu kwenye umaskini.He needed hata 30 years kuwatoa Watanzania kwenye umaskini.It is a long process,sio kitu cha muda mfupi.
 
Five years ni kidogo sana kumtoa mtu kwenye umaskini.He needed hata 30 years kuwatoa Watanzania kwenye umaskini.It is a long process,sio kitu cha muda mfupi.
Pole sana mkuu, ila ndiyo hivyo tena machozi ya Watanzania wengi yalimtoa kwenye reli. Ashukuliwe Mungu na poleni sana wanyonge kwani kaondoka bila kuwatoa huko kwenye unyonge wenu ambao ilitakiwa awatoe baada ya miaka 30.
 
Dream liner ili nunuliwa Kwa ajili gani na sasa hivi inafanya Shughuli Gani. Halafu utegeme kupata faida au shirika kuliendesha lenyewe
 
Pole sana mkuu, ila ndiyo hivyo tena machozi ya Watanzania wengi yalimtoa kwenye reli. Ashukuliwe Mungu na poleni sana wanyonge kwani kaondoka bila kuwatoa huko kwenye unyonge wenu ambao ilitakiwa awatoe baada ya miaka 30.
Nimeshasema mimi sio maskini,ila napenda kuji-identify nao kwa kuwa ni binadamu wenzangu na Mungu ameniamuru niwahurumie maskini.
 
Sawa mkuu,baada ya kuwaita wanyonge kwasaidia nini kutoka huko kwenye unyonge?
Acha ubinafsi mkuu, dunia ni ya wote.
Wanyonge ni wengi kuliko wanyongajj.
Hili kundi lawanyonge linavyozidi kuwa kubwa zaidi amani yetu inakuwa rehani.
Kwani kuna faida gani wewe kumiliki mahela kibao hadi mengine huna matumizi nayo unayaweka kwenye makontena na mengine unaweka kwa wazungu ulaya wakati jirani yako ambaye ni ndugu yako anapambana ili aishi kwa buku kutwa?
Na buku yenyewe kuipata kwake ni mtihani.
Dunia ni sehemu nzuri sana kuishi ila inaharibiwa na watu wachache wa binafsi.
Rest in power Magufuli!
Alikuwa na upendo wa kweli.
 
Pole sana mkuu, ila ndiyo hivyo tena machozi ya Watanzania wengi yalimtoa kwenye reli. Ashukuliwe Mungu na poleni sana wanyonge kwani kaondoka bila kuwatoa huko kwenye unyonge wenu ambao ilitakiwa awatoe baada ya miaka 30.
Shibe isikutoe akili.
Mnakimbilia ulaya sababu kuna msawaziko wa kiuchumi na sio vinginevyo.
Hakuna amani kwenye njaa, kaa kwakujishikilia
R.I.P Magufuli
 
Shibe isikutoe akili.
Mnakimbilia ulaya sababu kuna msawaziko wa kiuchumi na sio vinginevyo.
Hakuna amani kwenye njaa, kaa kwakujishikilia
R.I.P Magufuli
Ulaya sijawahi kwenda huko,mimi napambana hapa hapa. Kukataa kuitwa mnyonge siyo sababu ya shibe ila ni kupevuka kiakili. Ila wewe bado unadhani kuitwa mnyonge ni sifa so unabweteka na kudhani unyonge wako unaletwa na matajiri kama Jiwe alivyowakaririsha.
 
Huyo kilaza anajiamini bure tu. Jk alikosea sana kumpa kazi kishikaji matawi ya juu huku mwenyewe hana lolote alipomaliza shahada ya kwanza kule marekani. Na ana tamaa kua rais sijui ndio wamemtuma wamarekani ili aje kuwatumikia? Alitakiwa asote kupata uzoefu na kujua hali halisi kuhusu uongozi. Mtu mwenyewe hana akili ila anajidai anajua na ametanguliza tamaa na ubinafsi kutaka kujitajirisha.😭😭
 
Yaani kuna tusi nilitaka kukutukana
Ila nimekutukana kimoyo moyo.

Jifunze kuishi na kujali watu.
Kila mtu anayeishi anathamani sawa na wewe.
Kama wewe hauna roho ya huruma na upendo basi usiwadharau wenye roho hiyo.
 
Jamani tukazane kunywa mtori labda nyama tutazikuta chini 😂
 
Yaani kuna tusi nilitaka kukutukana
Ila nimekutukana kimoyo moyo.

Jifunze kuishi na kujali watu.
Kila mtu anayeishi anathamani sawa na wewe.
Kama wewe hauna roho ya huruma na upendo basi usiwadharau wenye roho hiyo.
Hakuna sehemu nimesema kuwa sina huruma au nimesema nimemdharau mtu yeyote. Ninachesema na kusisitiza ni kuwa watu wasijivunie au kuona ufahari kuitwa wanyonge. Usiniite mnyonge badala yake niwezeshe nitoke kwenye umasikini. Swala la kunitusi kimya kimya siyo tatizo langu bali ni tatizo lako,pole sana
 
Sina maburungutu ya fedha na wala mimi siyo tajiri. Lakini kamwe siwezi kujiita mnyonge. Ni kweli kuna watu wanashindwa kupata hata mahitaji muhimu ya siku,no jukumu la serikali kuweka mazingira mazuri ili kila mmoja aweze kujitafutia na kutoa msaada kwa wale wasio na uwezo kama walemavu na wazee. Ila maswala ya kuitana wanyonge siyo kitu kizuri. Mwisho Jiwe hajawahi kuwa na upendo kwa mtu yeyeto,yalikuwa ni maslahi binafsi. Kujua hili angalia watu wake wa karibu kama Bashite au Saambaya
 
Nitajie mali alizojimilikisha jiwe,
Mimi nikutajie mali walizojimilikisa Samia, Kikwete na Mkapa.
Ili tuchuje kati ya hao ni nani kapampania maslahi yake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…