Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

Na tulielezwa kuwa mafuta yunayotumia yanakuwa yamenunuliwa miezi mitatu nyuma.

Makamba is a failure. EWURA ni taasisi ya ajabu kabisa. Hawana maono wala mipango ya muda mrefu.

Hakuna sababu yoyote ya msingi ya bei ya mafuta kupanda. Labda waseme ukweli kama kuna kodi zimerudishwa kwenye mafuta.
 
Unapoint sana,,, em fikiria ungekuwa ni wewe unauza bidhaa sokoni 1000 uliyoinunua kwa bei ya jumla 500 na ukasikia mapema unakojumua saiz bei ya jumla imepanda ni 700 utaendelea kuuza kwa 1000?

Mbona hizi logic za kawaida sana kibiashara mtu ananunua mazao kwa bei ndogo anayaweka store bei zikipanda anauza kwa bei iliopo sokon au ulitaka nao waseme kwa kua alinunua bei ndogo faida zao ziwe limit kama ni 1000 ibaki 1000 hata kama watatokea wanunuz ambao atapata faida 4000?
Kinachowapoza nyinyi mnaamini serikali ni wananchi ukiuelewa huu uongo utaacha kuteseka

Serikali sio ya wananchi mnadanganywaaa ni familia yenye MAFANIKIO inayomiliki rasilimari za mipaka iliyochorwa na wakolon ili utumie hizi rasilimali lazima ulipie na watakupangia tafta kaupenyo ka kujiunga na hii familia utainjoi #giant terrorist
 
Asante kwa uchambuzi.
 
🤣🤣🤣 uko shallow sana kijana hii sababu yako haitufikishi popote,,,kwa hii sabab yako unapokuwa umepandisha bei unakuwa unasolve nini?

Hapo cha zaidi utafanya kuwakomoa watu wasio na hatia

Mara nyingi sabab ya kupanda bei huwa ni bei ya jumla kupanda au bidhaa yenyewe kuwa adimu ambayo huendana na kupanda kwa bei ya jumla
 
Wewe umechambua kisiasa au kiuchumi?
 
Huyu Mama anaendesha nchi kama VICOBA,deni likiiva anaenda kukopa tena ili kulipa mkopo.Kwaiyo pesa nyingi ina hudumia deni la nchi wakati export yetu yenyewe chenga!
 
Usiongope....

Ni miezi miwili tu iliyopita GAVANA WA BOT Dr.E .Tutuba aliongelea huo upungufu wa DOLA....

Mh.Makamba na EWURA wako sahihi....

Ukiamua kuwashambulia basi uje na upembuzi yakinifu [emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
Tutuba ana PhD?
 
Mkuu umesoma ulichoandika au ndiyo mihemko ya uchawa!
 
Gavana kama hayupo vile
Toka atoke Benno Ndulu pale Bot hapajakaa sawa kabisa
Wote Waziri wa fedha na Gavana hamna watu pale.Bora post ya Gavana angepewa Mafuru!
 
Usiongope....

Ni miezi miwili tu iliyopita GAVANA WA BOT Dr.E .Tutuba aliongelea huo upungufu wa DOLA....

Mh.Makamba na EWURA wako sahihi....

Ukiamua kuwashambulia basi uje na upembuzi yakinifu [emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
Nimeongopa nini? Lete ushahidi mezani kwamba nimeongopa... Acha bangi na mihemko, kwanini usinijibu kwa hoja
 
Kama hujawahi kuwa na exposure ya kuagiza mizigo nje huwezi kuelewa kupanda bei Kwa mafuta mkuu,na hata ukielezwa huwezi kuelewa kabisa yaani........
 
We kweli uchumi umesomea chini ya mti. Rudia rudia tena kusoma huo ujinga wako ulioandika paragraph ya pili ..."ukipandisha bei ya kitu unaongeza demand yake.." hivi wewe upo timamu kweli???

Acha kubisha ili mradi kubisha
 
NI kweli dola hamna, hoja yangu ni kwamba, kupandisha bei ya mafuta hakutatui hilo tatizo.

Kwa maoni yangu kinachotakiwa ni benki kuu ku adjust monetary policy kwa sasa
 
Hatua za kipara Zina baraka za Baraza la mawaziri.

Zimebarikiwa na mkuu,

Waziri ni karani tu wa mkubwa🙏🙏
 
Tuambie wsy forward sio unatoa taarifa tu
Soma paragraph ya mwisho, acha kukurupuka na wewe.... nipo naandaa thread nyingine kuishauri serikali kuhusu hii changamoto ya dola
 
Kama hujawahi kuwa na exposure ya kuagiza mizigo nje huwezi kuelewa kupanda bei Kwa mafuta mkuu,na hata ukielezwa huwezi kuelewa kabisa yaani........
Acha siasa zako na wewe, kuagiza mzigo nje napo imeshakuwa exposure?

Kwahiyo wewe mwenye exposure ndo una suppport bei ya mafuta kupandishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…