Makamba wizara imemshinda sikiliza video hii

Makamba wizara imemshinda sikiliza video hii

Huyu ni agent wa sukuma gang. Kwani Makamba ndiyo nyaya za umeme?

January Makamba ni suala la muda tu, lkn soon anakwenda kuwa rais wa nchi hii
Huko KKKT kwenyewe Dr Naniliu PhD keshamuacha Mbali Sana huku La Mitume mgombea wetu anajulikana kabisa😂😂🔥
 
Atakuwa Rais wa nchi yako na familia yako labda. Mtoto wa kiume unamtetea mwanaume mwenzako kwa hisia kama kakuvua ubingwa vile.
Mtajamba sana huyo January ni presidential material mtake msitake ndio hivyo. Marais wa kibahati bahati hakuna tena
 
Back
Top Bottom