Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 24, 2023 #21 Mtoto pendwa wa mama, anaharibu balaa lakini wapi
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 2,800 Reaction score 6,927 Aug 24, 2023 #22 wadiz said: Siongei na panya kama nyie huyo shangazi yenu ni wa mpito mtake msitake ndio hivyo Click to expand... Nyie watoto wa magomeni kwanza wengi bodaboda. Nenda tu ukavuliwe ubingwa
wadiz said: Siongei na panya kama nyie huyo shangazi yenu ni wa mpito mtake msitake ndio hivyo Click to expand... Nyie watoto wa magomeni kwanza wengi bodaboda. Nenda tu ukavuliwe ubingwa
Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Aug 24, 2023 #23 Deleted01 said: Nyie watoto wa magomeni kwanza wengi bodaboda. Nenda tu ukavuliwe ubingwa Click to expand... Una ubongo kama vibwengo maji 🤣🤣🤣
Deleted01 said: Nyie watoto wa magomeni kwanza wengi bodaboda. Nenda tu ukavuliwe ubingwa Click to expand... Una ubongo kama vibwengo maji 🤣🤣🤣
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Aug 24, 2023 #24 Makamba hata mm namkubali awe president.
M majebere JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 4,928 Reaction score 1,787 Aug 24, 2023 #25 Sexless said: Huyu ni agent wa sukuma gang. Kwani Makamba ndiyo nyaya za umeme? January Makamba ni suala la muda tu, lkn soon anakwenda kuwa rais wa nchi hii Click to expand... labda atakuwa Rais wa wachawi, sio wa nchi. Makamba hata kuja kuwa rais maisha yake yote. Ni mwizi number moja Tanzania na amepewa mafunzo ya wizi na mzee makamba pamoja na Kikwete.
Sexless said: Huyu ni agent wa sukuma gang. Kwani Makamba ndiyo nyaya za umeme? January Makamba ni suala la muda tu, lkn soon anakwenda kuwa rais wa nchi hii Click to expand... labda atakuwa Rais wa wachawi, sio wa nchi. Makamba hata kuja kuwa rais maisha yake yote. Ni mwizi number moja Tanzania na amepewa mafunzo ya wizi na mzee makamba pamoja na Kikwete.