Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

Ni nzuri zaidi ukipitia halmashauri ndo unapata plot nzuri fika kitengo Cha ardhi watakuonesha viwanja vizuri
mkuu makadilio ya bei ni shngp? mana nataka nije full
 
Uwanja bei gani nataka nije ninunue plot ya kujenga kama unacho niunganishe
Kuna eneo kubwa lina Hill View, mita 500 toka main road..TAZAM, panafaa kwa hotel, lodge nk..pana beacons, sqm 3894. Umeme na maji karibu..barabara ya mtaa hapohapo inapita..mtaa ni magongo..karibu na reli ya tazara. Ukipahitaji ni tsh 14ml. Sms 0652 656565 nikuunganishe na mzee mhusika.
 
napaitaji ila kwa saiv nina robo tatu ya pesa hiyo nategemea had tarehe 5/11 kama hatopatikana mteja nitakuchek nipachukue
 
napaitaji ila kwa saiv nina robo tatu ya pesa hiyo nategemea had tarehe 5/11 kama hatopatikana mteja nitakuchek nipachukue
Sawa. Tuwasiliane nikuunganishe na mzazi wangu mtayajenga ikiwa una uhakika wa ratiba yako ya pesa. Pazuri sana
 
Soko la kimataifa la Kanda makambako
DSC06295.JPG
DSC06298.JPG
 
Na hili eneo la makambako kulingana na mfanano wa kijiografia na Lusaka Zambia kadri uwekezaji unavoongezeka limeanza
Kufanana taswira ambapo Lusaka metropolitan city inajengeka kwa mfumo wa viwanda na biashara nje ya kuwa MAKAO MAKUU makambako👇👇
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1).jpeg
lusaka👇👇
1711350929867.jpg
 
Back
Top Bottom