OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.Mkuu usisahau kucheki Fifa Ranking uone hizo timu za kina Kagere na Chama zinashika nafasi ya ngapi na Congo Drc ya ngapi. Point yangu ni ngumu kwa mchezaji anayecheza ligi za Afrika kupata nafasi timu ya taifa ya Congo. Kama unakumbuka mara ya mwisho walikuja hapa Bongo na wachezaji Wanne tu toka ligi ya ndani wengine wote Mapro.
Matokeo yakawa ngapi ngapi?Mkuu usisahau kucheki Fifa Ranking uone hizo timu za kina Kagere na Chama zinashika nafasi ya ngapi na Congo Drc ya ngapi. Point yangu ni ngumu kwa mchezaji anayecheza ligi za Afrika kupata nafasi timu ya taifa ya Congo. Kama unakumbuka mara ya mwisho walikuja hapa Bongo na wachezaji Wanne tu toka ligi ya ndani wengine wote Mapro.
Kwanini South Korea walipoifunga Germany World Cup ulielewa nini?!
Eti 40 bora!wakati Kagere,Okwi,Niyo,Mulshid Juuko,Chama ni wachezaji tegemezi wa timu zao
Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.
Mwambieni ajifunze kwanza kufunga mdomo
Huyo makambo mwenyewe anazifunga tu mbao sijui Kagera Sugar akikutana na Simba ndo umuoni kabisa.Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.
Mwambieni ajifunze kwanza kufunga mdomo