Makambo achaguliwa 40 Bora kupata timu wachezaji 23 wa timu ya Taifa DRC

Mkuu usisahau kucheki Fifa Ranking uone hizo timu za kina Kagere na Chama zinashika nafasi ya ngapi na Congo Drc ya ngapi. Point yangu ni ngumu kwa mchezaji anayecheza ligi za Afrika kupata nafasi timu ya taifa ya Congo. Kama unakumbuka mara ya mwisho walikuja hapa Bongo na wachezaji Wanne tu toka ligi ya ndani wengine wote Mapro.
Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.

Mwambieni ajifunze kwanza kufunga mdomo
 
Matokeo yakawa ngapi ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.

Mwambieni ajifunze kwanza kufunga mdomo
Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.

Mwambieni ajifunze kwanza kufunga mdomo
Huyo makambo mwenyewe anazifunga tu mbao sijui Kagera Sugar akikutana na Simba ndo umuoni kabisa.
Wakati wenzie kina Mk14 wanazifunga Yanga..Azam..Al ahly na hats hiyo simba yenyewe washawahi kuifunga.
 
Safi Makambovic mzee wa kujaza, vile vibabu vya mikia vinamalizia pensheni mwakani haviwezi funga zaidi ya goli 5
 
Back
Top Bottom