OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimemuuliza chura mmoja hapo juu,Zile machine za AS Vita,Tp Mazembe, Motema Pembe na zingine huko ufarasa unaziweka wapi mpaka huyo Makambo apate chance.Mkuu usisahau kucheki Fifa Ranking uone hizo timu za kina Kagere na Chama zinashika nafasi ya ngapi na Congo Drc ya ngapi. Point yangu ni ngumu kwa mchezaji anayecheza ligi za Afrika kupata nafasi timu ya taifa ya Congo. Kama unakumbuka mara ya mwisho walikuja hapa Bongo na wachezaji Wanne tu toka ligi ya ndani wengine wote Mapro.
Mwambieni ajifunze kwanza kufunga mdomo