Wali na makande wapi na wapi???... striker na kiungo??... mhhh...Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.
Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.
Hahahahaha nitajie tabia tano ambazo pro anatakiwa awe nazo!... (najua haujui)Sijaongelea position mkuu, nimezungumzia tabia za ki proffesional. Elewa topic.
Kila mtu ana namna yake ya mzuka. Lakini pia Chama ametimiza wajibu wake kadhalika na Makambo anatimiza wajibu wake. Watu hawawezi kufanana mkuu !!Sijaongelea position mkuu, nimezungumzia tabia za ki proffesional. Elewa topic.
Huyo bro sijui ana matatizo gani??.. kinachoangaliwa ni utimizaji wa majukumu kutokana na nafasi yako!.. so wewe ufunge uvue shati!..haijalishi.. cha msingi umetimiza wajibu!..Kila mtu ana namna yake ya mzuka. Lakini pia Chama ametimiza wajibu wake kadhalika na Makambo anatimiza wajibu wake. Watu hawawezi kufanana mkuu !!
Angalia uzito wa mechi bwana mdogo unadhani angefunga dhidi ya Newcastle angevua shati. Arsenal ni vibonde wa Man U lazima ashangilie kuwakomboa mashabiki wa Arsenal kwenye kifungo cha uteja wa Man U.Hahahahaha nitajie tabia tano ambazo pro anatakiwa awe nazo!... (najua haujui)
toreira wa arsenal alipofunga kwenye mechi na man u alivua shati!..(toreira ni pro)..
MO Salah alipofunga goli muhimu la kuivusha Liverpool dhidi ya napoli kuvuka hatua ya makundi mbona hakuvua shati??.. (MO salah ni pro). kama umekosa Mada kalale bradha..
Uzito wa mechi si nimekukumbusha kabisa bro??... #kalalebradha ..Angalia uzito wa mechi bwana mdogo unadhani angefunga dhidi ya Newcastle angevua shati. Arsenal ni vibonde wa Man U lazima ashangilie kuwakomboa mashabiki wa Arsenal kwenye kifungo cha uteja wa Man U.
Ruvu Shooting team ndogo sana dhidi ya Yanga kwa striker wa hadhi ya juu kama yeye kushangilia kama amechukua ubingwa.
Wewe unaitwa iokote na kuna mwingine anaitwa @itupe tofautisha mkuuMechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.
Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.
HahahahahaWewe unaitwa iokote na kuna mwingine anaitwa @itupe tofautisha mkuu
Kushangilia goli ni hisia zinazokuja kwa wakati huo bila mhusika kupanga ndio maana Klopp aliingia uwanjani kushangilia goli la Origi vs Everton kwa kumkumbatia Kipa wakeSijaongelea position mkuu, nimezungumzia tabia za ki proffesional. Elewa topic.
uwe unaangalia mpira dogoHahahahaha nitajie tabia tano ambazo pro anatakiwa awe nazo!... (najua haujui)
toreira wa arsenal alipofunga kwenye mechi na man u alivua shati!..(toreira ni pro)..
MO Salah alipofunga goli muhimu la kuivusha Liverpool dhidi ya napoli kuvuka hatua ya makundi mbona hakuvua shati??.. (MO salah ni pro). kama umekosa Mada kalale bradha..
Mwambieni Makomboo anyoe hayo manyoya ya kwapani yanatia kinyaa, na hivi anapenda kuvua vua shati!!!Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.
Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.