Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Duu! Aisee tuachie Makamboo wetu bhana! Kwa vile anafunga hata asiponyoa poa tuMwambieni Makomboo anyoe hayo manyoya ya kwapani yanatia kinyaa, na hivi anapenda kuvua vua shati!!!
Yananukaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu! Aisee tuachie Makamboo wetu bhana! Kwa vile anafunga hata asiponyoa poa tuMwambieni Makomboo anyoe hayo manyoya ya kwapani yanatia kinyaa, na hivi anapenda kuvua vua shati!!!
Yananukaaa!
Sijaongelea position mkuu, nimezungumzia tabia za ki proffesional. Elewa topic.
Tena makande ya Gulioni cyo yale ya upareni [emoji2] [emoji1]Wali na makande wapi na wapi???... striker na kiungo??... mhhh...
Twajua kuwa name ni Mwana wa simba!!... unajua mzuka wa kufunga bro?? kwanza umewahi /unachezaga Mpira??uwe unaangalia mpira dogo
Hauchelewi kumlinganisha Ngoma na Juuko Murshid... Jinsi mlivyo mbumbumbuMechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.
Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.