Makambo anatakiwa kuiga vingi kwa pro Chama

Makambo anatakiwa kuiga vingi kwa pro Chama

Mwambieni Makomboo anyoe hayo manyoya ya kwapani yanatia kinyaa, na hivi anapenda kuvua vua shati!!!

Yananukaaa!
Duu! Aisee tuachie Makamboo wetu bhana! Kwa vile anafunga hata asiponyoa poa tu
 
Injinia soma hiyooo...

Dingilai mbona unaingilia uhuru wa mtu sasa unajua furaha ya kufunga wewe mwache Bamutu ba Kongo ashangilie jinsi anavyotaka yeye hata akivua viatu ni sawa tu.

Achana na Maisha binafsi ya Mtu kwani Yeye Chama alinyimwa kushangilia??
 
Kumbe simba next season wanaweza kukosa kushiriki mashindano ya kimataifa tena? Hesabu zipo wazi et....EPL bingwa karibu anajulukana Mr unbeaten[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Azam confederation yeyot anatwaa!!!!! Mikia mjipange
 
Mkuu upo sahihi kabisa
Game ya liver na man u ilikuwa ngumu sana lakini sikuona Shaqir anafanya ujinga kama wa makambo
 
Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.

Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.
Hauchelewi kumlinganisha Ngoma na Juuko Murshid... Jinsi mlivyo mbumbumbu
 
Back
Top Bottom