Makambo anatakiwa kuiga vingi kwa pro Chama

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
601
Reaction score
875
Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.

Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.
 
Wali na makande wapi na wapi???... striker na kiungo??... mhhh...
 
Sijaongelea position mkuu, nimezungumzia tabia za ki proffesional. Elewa topic.
Hahahahaha nitajie tabia tano ambazo pro anatakiwa awe nazo!... (najua haujui)
toreira wa arsenal alipofunga kwenye mechi na man u alivua shati!..(toreira ni pro)..
MO Salah alipofunga goli muhimu la kuivusha Liverpool dhidi ya napoli kuvuka hatua ya makundi mbona hakuvua shati??.. (MO salah ni pro). kama umekosa Mada kalale bradha..
 
Kila mtu ana namna yake ya mzuka. Lakini pia Chama ametimiza wajibu wake kadhalika na Makambo anatimiza wajibu wake. Watu hawawezi kufanana mkuu !!
Huyo bro sijui ana matatizo gani??.. kinachoangaliwa ni utimizaji wa majukumu kutokana na nafasi yako!.. so wewe ufunge uvue shati!..haijalishi.. cha msingi umetimiza wajibu!..
 
Hahahahaha nitajie tabia tano ambazo pro anatakiwa awe nazo!... (najua haujui)
toreira wa arsenal alipofunga kwenye mechi na man u alivua shati!..(toreira ni pro)..
MO Salah alipofunga goli muhimu la kuivusha Liverpool dhidi ya napoli kuvuka hatua ya makundi mbona hakuvua shati??.. (MO salah ni pro). kama umekosa Mada kalale bradha..
Angalia uzito wa mechi bwana mdogo unadhani angefunga dhidi ya Newcastle angevua shati. Arsenal ni vibonde wa Man U lazima ashangilie kuwakomboa mashabiki wa Arsenal kwenye kifungo cha uteja wa Man U.

Ruvu Shooting team ndogo sana dhidi ya Yanga kwa striker wa hadhi ya juu kama yeye kushangilia kama amechukua ubingwa.
 
Uzito wa mechi si nimekukumbusha kabisa bro??... #kalalebradha ..
 
Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.

Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.
Wewe unaitwa iokote na kuna mwingine anaitwa @itupe tofautisha mkuu
 
Sijaongelea position mkuu, nimezungumzia tabia za ki proffesional. Elewa topic.
Kushangilia goli ni hisia zinazokuja kwa wakati huo bila mhusika kupanga ndio maana Klopp aliingia uwanjani kushangilia goli la Origi vs Everton kwa kumkumbatia Kipa wake
 
Ile ni derby. Mechi nzito ile.
 
Hahahahaha nitajie tabia tano ambazo pro anatakiwa awe nazo!... (najua haujui)
toreira wa arsenal alipofunga kwenye mechi na man u alivua shati!..(toreira ni pro)..
MO Salah alipofunga goli muhimu la kuivusha Liverpool dhidi ya napoli kuvuka hatua ya makundi mbona hakuvua shati??.. (MO salah ni pro). kama umekosa Mada kalale bradha..
uwe unaangalia mpira dogo
 
Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.

Ona Chama kaipeleka Simba hatua ya makundi kwa goli malidhawa, kachukulia kawaida tu ni wajibu wake kama pro player. Angekuwa ndio Makambo angevua adi bukta leo.
Mwambieni Makomboo anyoe hayo manyoya ya kwapani yanatia kinyaa, na hivi anapenda kuvua vua shati!!!

Yananukaaa!
 
Back
Top Bottom