Katika hili pambano mshindi ni Feisal maana lengo lake lilikuwa ni kupandisha thamani yake na amefanikiwa....Walikuwa wanamuimba juzi kuwa hawamtaki vipi Tate Mkuu nawe uliunga mkono swala hilo?
Na bado hiyo hela haimtoshi, hiyo itamsukuma sukuma mpaka kwenye dirisha kubwa la usajili ambapo hapo Azam atakuja na comeback ya hatariKatika hili pambano mshindi ni Feisal maana lengo lake lilikuwa ni kupandisha thamani yake na amefanikiwa....
Utopolo wameambiwa Pay As You Earn.......[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasilete janjajanja hahahahaha
Jamaa tangu watambue usajili wao mkubwa ni kibabu Ntibazonkiza na Inonga kuongeza mkataba wamekata tamaaa kabisa.Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.
Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Haya maisha ukiumia umechagua mwenyewe tu. Ndio hawa jamaa sasa kinachowakuta wako hapa wanajaribu kukifariji tuJamaa tangu watambue usajili wao mkubwa ni kibabu Ntibazonkiza na Inonga kuongeza mkataba wamekata tamaaa kabisa.
Sasa tulieni Yanga wanashusha mtu.
MPIRA WA BONGO TANTALILA NYINGIJamaa tangu watambue usajili wao mkubwa ni kibabu Ntibazonkiza na Inonga kuongeza mkataba wamekata tamaaa kabisa.
Sasa tulieni Yanga wanashusha mtu.
Siwezi kuunga mkono kirahisi tu! Kwa sababu Fei Toto ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa! Na hata kuhusu mchango wake pale Yanga, hakuna wa kuutilia shaka.Walikuwa wanamuimba juzi kuwa hawamtaki vipi Tate Mkuu nawe uliunga mkono swala hilo?
Hao mbona kuumbuka ni jadi yao. Tumeshawazoea.Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.
Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Kumbe unafurahisha wadau ?Fei adai jamaa wamelia sanaaaaaaaaaa na kudai kuwa
wamemuahidi watampa mke mmoja wa manara
ng'ombe wa mayele,
Priva na Alikamwe wamesema watampa pea moja moja za suti zao
Kwa kutumia akili ndogo tu nani aliyeumbuka kati ya nyinyi utopolo na sisi?Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.
Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Kwa hiyo vifungu vya kuvunja mkataba havina maana tena?Kwa kutumia akili ndogo tu nani aliyeumbuka kati ya nyinyi utopolo na sisi?
Nyinyi mchezaji ametaka kuondoka kutokana na maslahi mnamletea habari za mapenzi[emoji23][emoji23][emoji23]amewakana mchana kweupeeeeeeee mkaimba na nyimbo hatumtaki hatumtaki na mabango mkaandika NO FEISAL NO PROBLEM,
Msijue kuwa viongozi wenu wamepanda AZAM MARINE mpaka zenj wakitambaa na magoti kwa mtoto mdogo wakiomba huruma na ahadi kibao mpaka kwa mama yake, mmeonewa huruma sasa sijui mtakula matapishi?aibuuuuuuu yale mabango unafikiri yanafutika kirahisi???????zile nyimbo zitafutika kirahisi???????
Utöpolo wananikumbusha hadithi ya sungura SIZITAKI MBICHI HIZI.........
Sasa hapo winner ni nani?kati ya timu na mchezaji?
Mchezaji kafanikiwa kupandisha thamani yake...so AMEGAIN
Timu imeingiliwa mfukoni.....so IMELOOSE
Washabiki oya oya mmebaki kuwa vigeugeu ......MMEPATA AIBU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kuwa jeuri,Kuwa na pesa kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu ya mkoloni ni ya kifala sana.Kwa kutumia akili ndogo tu nani aliyeumbuka kati ya nyinyi utopolo na sisi?
Nyinyi mchezaji ametaka kuondoka kutokana na maslahi mnamletea habari za mapenzi[emoji23][emoji23][emoji23]amewakana mchana kweupeeeeeeee mkaimba na nyimbo hatumtaki hatumtaki na mabango mkaandika NO FEISAL NO PROBLEM,
Msijue kuwa viongozi wenu wamepanda AZAM MARINE mpaka zenj wakitambaa na magoti kwa mtoto mdogo wakiomba huruma na ahadi kibao mpaka kwa mama yake, mmeonewa huruma sasa sijui mtakula matapishi?aibuuuuuuu yale mabango unafikiri yanafutika kirahisi???????zile nyimbo zitafutika kirahisi???????
Utöpolo wananikumbusha hadithi ya sungura SIZITAKI MBICHI HIZI.........
Sasa hapo winner ni nani?kati ya timu na mchezaji?
Mchezaji kafanikiwa kupandisha thamani yake...so AMEGAIN
Timu imeingiliwa mfukoni.....so IMELOOSE
Washabiki oya oya mmebaki kuwa vigeugeu ......MMEPATA AIBU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kuwa jeuri,Kuwa na pesa kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walioumbuka vibaya ni mashabiki wa Uto...waliosema hawamtaki baada ya hapo awali kuwaaga.Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.
Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Unanisema mimi isee team yangu siielewi kabisa.Jamaa tangu watambue usajili wao mkubwa ni kibabu Ntibazonkiza na Inonga kuongeza mkataba wamekata tamaaa kabisa.
Sasa tulieni Yanga wanashusha mtu.
Aibu ndio ilikufanya ureply utopolo huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elimu ya mkoloni ni ya kifala sana.
Kwa ulichoandika hapo unashangaa na wewe una Cheti cha Form 4.
#Maskini