Makambo OUT, Yacouba IN. Viongozi Yanga wafungua pochi, Feisal arudi, aibu iliyoje kwa washabiki waliokuwa wakiimba hawamtaki

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Wamuwekea mil 14 kwa mwezi mezani boresho la mkataba.....

Kambole. Loading....

Fei adai jamaa wamelia sanaaaaaaaaaa na kudai kuwa
wamemuahidi watampa mke mmoja wa manara
ng'ombe wa mayele,
Priva na Alikamwe wamesema watampa pea moja moja za suti zao

walifika mpaka visiwani kwa mama yake,mama kaogopa mwanae kurogwa kakunjua,
IMG-20221225-WA0004.jpg
 
Katika hili pambano mshindi ni Feisal maana lengo lake lilikuwa ni kupandisha thamani yake na amefanikiwa....

Utopolo wameambiwa Pay As You Earn.......[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasilete janjajanja hahahahaha
Na bado hiyo hela haimtoshi, hiyo itamsukuma sukuma mpaka kwenye dirisha kubwa la usajili ambapo hapo Azam atakuja na comeback ya hatari
 
Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.

Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Jamaa tangu watambue usajili wao mkubwa ni kibabu Ntibazonkiza na Inonga kuongeza mkataba wamekata tamaaa kabisa.
Sasa tulieni Yanga wanashusha mtu.
 
Haya maisha ukiumia umechagua mwenyewe tu. Ndio hawa jamaa sasa kinachowakuta wako hapa wanajaribu kukifariji tu
 
Walikuwa wanamuimba juzi kuwa hawamtaki vipi Tate Mkuu nawe uliunga mkono swala hilo?
Siwezi kuunga mkono kirahisi tu! Kwa sababu Fei Toto ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa! Na hata kuhusu mchango wake pale Yanga, hakuna wa kuutilia shaka.

Binafsi natamani kuona anakaa na uongozi wake, ili wafikie muafaka juu ya hizo changamoto zilizojitokeza, kwa manufaa ya pande zote mbili.
 
Fei adai jamaa wamelia sanaaaaaaaaaa na kudai kuwa
wamemuahidi watampa mke mmoja wa manara
ng'ombe wa mayele,
Priva na Alikamwe wamesema watampa pea moja moja za suti zao
Kumbe unafurahisha wadau ?
 
Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.

Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Kwa kutumia akili ndogo tu nani aliyeumbuka kati ya nyinyi utopolo na sisi?
Nyinyi mchezaji ametaka kuondoka kutokana na maslahi mnamletea habari za mapenzi[emoji23][emoji23][emoji23]amewakana mchana kweupeeeeeeee mkaimba na nyimbo hatumtaki hatumtaki na mabango mkaandika NO FEISAL NO PROBLEM,
Msijue kuwa viongozi wenu wamepanda AZAM MARINE mpaka zenj wakitambaa na magoti kwa mtoto mdogo wakiomba huruma na ahadi kibao mpaka kwa mama yake, mmeonewa huruma sasa sijui mtakula matapishi?aibuuuuuuu yale mabango unafikiri yanafutika kirahisi???????zile nyimbo zitafutika kirahisi???????
Utöpolo wananikumbusha hadithi ya sungura SIZITAKI MBICHI HIZI.........
Sasa hapo winner ni nani?kati ya timu na mchezaji?
Mchezaji kafanikiwa kupandisha thamani yake...so AMEGAIN
Timu imeingiliwa mfukoni.....so IMELOOSE
Washabiki oya oya mmebaki kuwa vigeugeu ......MMEPATA AIBU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaka kuwa jeuri,Kuwa na pesa kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo vifungu vya kuvunja mkataba havina maana tena?
 
Elimu ya mkoloni ni ya kifala sana.
Kwa ulichoandika hapo unashangaa na wewe una Cheti cha Form 4.
#Maskini
 
Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.

Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Walioumbuka vibaya ni mashabiki wa Uto...waliosema hawamtaki baada ya hapo awali kuwaaga.
 
Jamaa tangu watambue usajili wao mkubwa ni kibabu Ntibazonkiza na Inonga kuongeza mkataba wamekata tamaaa kabisa.
Sasa tulieni Yanga wanashusha mtu.
Unanisema mimi isee team yangu siielewi kabisa.
 
Elimu ya mkoloni ni ya kifala sana.
Kwa ulichoandika hapo unashangaa na wewe una Cheti cha Form 4.
#Maskini
Aibu ndio ilikufanya ureply utopolo huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiambiwa hamna akili mnakasirika....toa kwanza huo mwiko nyuma akili itakurudia tu
images%20(80).jpg
 
Back
Top Bottom