Makambo OUT, Yacouba IN. Viongozi Yanga wafungua pochi, Feisal arudi, aibu iliyoje kwa washabiki waliokuwa wakiimba hawamtaki

Baada ya yale majimama maarufu mjini kwa vikao vya kitchen party kusherehekea taarifa "feki" za kuondoka kwa Feitoto, sasa yamegeuka kuimba taarabu za mipasho kuepuka soni baada ya kubaini yalidanganywa. kudos mheshimiwa Aden Ismail Rage kuwatambua wabobezi wa kitchen party hawa.
 
Sasa hili jopo lililopigwa tukio na Super Ben tunawaitaje?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


UTOPOLO HAMNAZOView attachment 2459998
Ambaye mpaka leo yupo kwa makolo? Anayeonekana mwisho hucheka zaidi. Ninyi akilini zenu zinaweza kitchen party tu. Ilikuwa aibu kubwa timu inayojiita kubwa kusherekea kuondoka kwa Fei.
 
Mikia mmeona ligi imeshawashinda, sasa kinachowapa faraja ni Feisal 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Huyo ni mchezaji wetu, tutamalizana naye wenyewe. Vikombe kwenye kabati vinagongana, itakuwa binadamu.
Ile coaster inawaumiza migongo wachezaji, nunueni basi luxury makolo.
 
[emoji23][emoji23]ni kama kocha wao kila swali [emoji2788] Namshukuru Mungu mchezo umeisha salama hakuna majeruhi tujekipanga kwa mchezo ujao
 
Hayo ya ligi hawayataki kusikia. Wao waambie habari za Feisali na Assist za Chama. Ukiwagusia msimamo na points walizoachwa, wanaruka comment. Wanaona haiwahusu.
 
Hayo ya ligi hawayataki kusikia. Wao waambie habari za Feisali na Assist za Chama. Ukiwagusia msimamo na points walizoachwa, wanaruka comment. Wanaona haiwahusu.
Siku hizi wanataka pia waamuzi eti wamlinde mchezaji wao Moses Phiri, ili asiumizwe na mabeki wa timu pinzani! πŸ˜ƒ

Lengo apambame na Mayele kwenye kuwania kiatu cha ufungaji bora! Sijui watafanikiwa!!
 
Ambaye mpaka leo yupo kwa makolo? Anayeonekana mwisho hucheka zaidi. Ninyi akilini zenu zinaweza kitchen party tu. Ilikuwa aibu kubwa timu inayojiita kubwa kusherekea kuondoka kwa Fei.
Sasa mlimnunua? Au? Amewageuza kama mwembe wa uwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo ndio sababu ya fei kuwahenyesha kama hujui,maana jitu msimu mzima lina goli 2 na assist 1 then linalipwa 23mil alafu mtoto wa watu mumbebeshe mahirizi na kujituma kote anapata mshahara kama rambirambi,ufala huo hata mimi ningewahenyesha
 
Ukiwaona utopolo wakizungumzia habari za usafiri wa simba utasema wana hata kauwanjanka kufanyia mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalau wamepata cha kuongelea maana ligi ishawashinda.
Bado mechi ngapi ligi iishe?hata epl Arsenal yupo juu kwa point 8 sasa kaa kwa kutulia hapo hesabu tofauti ni point 3 maana point 3 mmetushikia tunakuja kuzichukua wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…