Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Hawana shukrani hawaπππππHa ha haa... si niliskia no fei no problem π π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana shukrani hawaπππππHa ha haa... si niliskia no fei no problem π π π
Baada ya yale majimama maarufu mjini kwa vikao vya kitchen party kusherehekea taarifa "feki" za kuondoka kwa Feitoto, sasa yamegeuka kuimba taarabu za mipasho kuepuka soni baada ya kubaini yalidanganywa. kudos mheshimiwa Aden Ismail Rage kuwatambua wabobezi wa kitchen party hawa.Wamuwekea mil 14 kwa mwezi mezani boresho la mkataba.....
Kambole. Loading....
Fei adai jamaa wamelia sanaaaaaaaaaa na kudai kuwa
wamemuahidi watampa mke mmoja wa manara
ng'ombe wa mayele,
Priva na Alikamwe wamesema watampa pea moja moja za suti zao
walifika mpaka visiwani kwa mama yake,mama kaogopa mwanae kurogwa kakunjua,View attachment 2459565
Ukiwaona kama watu vile kumbe mazwazwa tupuSasa hili jopo lililopigwa tukio na Super Ben tunawaitaje?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UTOPOLO HAMNAZOView attachment 2459998
Ambaye mpaka leo yupo kwa makolo? Anayeonekana mwisho hucheka zaidi. Ninyi akilini zenu zinaweza kitchen party tu. Ilikuwa aibu kubwa timu inayojiita kubwa kusherekea kuondoka kwa Fei.Sasa hili jopo lililopigwa tukio na Super Ben tunawaitaje?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UTOPOLO HAMNAZOView attachment 2459998
Rage ndie alisema siyo mimiSimba kuna wajanja tupu
Huko wamenyoosha mikono wala hawezi zungumuziaTunawakumbusha makolo na mambumbumbu wote kuwa msimamo wa ligi Yanga bado anaongoza kwa gap la point 6. Sasa endeleeni kuchambua mkataba wa Feisal huku Yanga anakusanya point
Sakata la Feisal ndo limekuwa faraja kwao kama vile litawaongezea points kwenye ligi wamesahau kabisa kuwa wana timu mbovuHuko wamenyoosha mikono wala hawezi zungumuzia
Hahahaaa. Wanachofanya ili kujipa faraja kwenye hili jambo la msingi, walichoona ni kujikita kwenye habari za Timu ya Wananchi.Tujikite hapa ndio pa msingi sanaView attachment 2460021
[emoji23][emoji23]ni kama kocha wao kila swali [emoji2788] Namshukuru Mungu mchezo umeisha salama hakuna majeruhi tujekipanga kwa mchezo ujaoMikia mmeona ligi imeshawashinda, sasa kinachowapa faraja ni Feisal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni mchezaji wetu, tutamalizana naye wenyewe. Vikombe kwenye kabati vinagongana, itakuwa binadamu.
Ile coaster inawaumiza migongo wachezaji, nunueni basi luxury makolo.
Angalau wamepata cha kuongelea maana ligi ishawashinda.Hivi hii saga ya Feitoto inawapa ahueni kwenye mbio za ubingwa wa Nbc??
Hayo ya ligi hawayataki kusikia. Wao waambie habari za Feisali na Assist za Chama. Ukiwagusia msimamo na points walizoachwa, wanaruka comment. Wanaona haiwahusu.Mikia mmeona ligi imeshawashinda, sasa kinachowapa faraja ni Feisal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni mchezaji wetu, tutamalizana naye wenyewe. Vikombe kwenye kabati vinagongana, itakuwa binadamu.
Ile coaster inawaumiza migongo wachezaji, nunueni basi luxury makolo.
Mlio umbuka ni nyieee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao mbona kuumbuka ni jadi yao. Tumeshawazoea.
Siku hizi wanataka pia waamuzi eti wamlinde mchezaji wao Moses Phiri, ili asiumizwe na mabeki wa timu pinzani! πHayo ya ligi hawayataki kusikia. Wao waambie habari za Feisali na Assist za Chama. Ukiwagusia msimamo na points walizoachwa, wanaruka comment. Wanaona haiwahusu.
Sasa mlimnunua? Au? Amewageuza kama mwembe wa uwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo ndio sababu ya fei kuwahenyesha kama hujui,maana jitu msimu mzima lina goli 2 na assist 1 then linalipwa 23mil alafu mtoto wa watu mumbebeshe mahirizi na kujituma kote anapata mshahara kama rambirambi,ufala huo hata mimi ningewahenyeshaAmbaye mpaka leo yupo kwa makolo? Anayeonekana mwisho hucheka zaidi. Ninyi akilini zenu zinaweza kitchen party tu. Ilikuwa aibu kubwa timu inayojiita kubwa kusherekea kuondoka kwa Fei.
Ukiwaona utopolo wakizungumzia habari za usafiri wa simba utasema wana hata kauwanjanka kufanyia mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mikia mmeona ligi imeshawashinda, sasa kinachowapa faraja ni Feisal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni mchezaji wetu, tutamalizana naye wenyewe. Vikombe kwenye kabati vinagongana, itakuwa binadamu.
Ile coaster inawaumiza migongo wachezaji, nunueni basi luxury makolo.