Makameraman wa enzi hizo

Hizi alipiga huyo mzee Sidibe wa Mali miongoni mwa wapiga picha za mnato mahiri kabisa Africa alifariki last year na picha hizi zote inadaiwa alipiga yeye miaka hiyo!

huu uzi umenifurahisha
naona kama nimeingia kwenye jumba la makumbusho ama kwenye gallery



unajua picha za zamani kama hizi zina upekee wake.

kwa uzamani wake tu zinagusa hata wale watu wasiofahamu walioko pichani ni akina nani, mtu akiona tu ukale wake anavutiwa kuzitazama


sasa, mimi nashauri kama tu wewe ulivyoziposti humu,
basi tuzikusanye na kuweka katika uzi maalum tuuite old photo gallery

na tukusanye na za wengine weengi walio tayari kutoa picha za zamani.

ili sisi watoto wa jana tuone mambo yalivyokuwa huko nyuma, na kurudisha kumbukumbu kwenu wa zamani.
 
Nani huyo?
Dah...
His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular"
πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…