Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
Ngoja nikupe vipicha unogeshe uzi wako maridadiView attachment 480436
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... Paparazzi [emoji13] [emoji13]Mtaani kwetu tulikua tunamwita "foto mi"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha...
Picha pozi linatafutiwa location ya maua..halafu unambiwa ushike ka ua..
Hizi alipiga huyo mzee Sidibe wa Mali miongoni mwa wapiga picha za mnato mahiri kabisa Africa alifariki last year na picha hizi zote inadaiwa alipiga yeye miaka hiyo!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mh hiyo si zamani hao wameamua kupiga hivyoNgoja nikupe vipicha unogeshe uzi wako maridadiView attachment 480436View attachment 480437
Nani huyo?Dah..... Kitambo sana hii...kabla ya kuwa Jenerali...
![]()
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hao ni watu wa chato au koromije?Ngoja nikupe vipicha unogeshe uzi wako maridadiView attachment 480436View attachment 480437