johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
NEC hivi wanaweza kutoa kasoro kwenye uchaguz wa mgombea wa ccmMakamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Pointi yake ni kwamba utaratibu umekiukwa, sasa awe na matokeo yapi tena?wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Majinga jinga Kama hili ni faida kubwa kwa wanasiasa tunaolamba asali.Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Kwa akili ya kawaida tu kama hilo ni la kweli huoni kama walikuwa na hoja ya kuhoji hilo?inshu sio mandate ya kutangazawameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
I think the 4 commissioners have a valid point.Kwa akili ya kawaida tu kama hilo ni la kweli huoni kama walikuwa na hoja ya kuhoji hilo?inshu sio mandate ya kutangaza
Where do you put the 6 million people who voted for him?Imetoka hiyo,mzee odinga akalee wajukuu sasa
Walompigia Lowassa walikuwa wangapi na waliwekwa wapi?Where do you put the 6 million people who voted for him?
this is africa, unadhani wakisema wakae tena hio commissioners wote ndo watafikia concesus baada ya mahakama kusema matokeo ni batili?Kwa akili ya kawaida tu kama hilo ni la kweli huoni kama walikuwa na hoja ya kuhoji hilo?inshu sio mandate ya kutangaza
Hesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Ule utulivu wote wa mwanzo umevurugika mwishoni kabisa. People never learn from history?this is africa, unadhani wakisema wakae tena hio commissioners wote ndo watafikia concesus baada ya mahakama kusema matokeo ni batili?