Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
 
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa

Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu

Wanapeleka ushahidi mahakamani

Source Citizen tv
NEC hivi wanaweza kutoa kasoro kwenye uchaguz wa mgombea wa ccm

Ova
 
wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Pointi yake ni kwamba utaratibu umekiukwa, sasa awe na matokeo yapi tena?
 
wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Kwa akili ya kawaida tu kama hilo ni la kweli huoni kama walikuwa na hoja ya kuhoji hilo?inshu sio mandate ya kutangaza
 
Kenya ni corrupted sana , nchi ikiwa corrupted ni ngumu kuwa na tume huru, IEBC ni corrupted sio tu Kwa sababu ime mtangaza Ruto kuwa Rais lakini kila miaka Kuna mistakes na tuhuma ambazo hazina majibu, na mbaya zaidi ni wana siasa kuiyumbisha tume, wana siasa wote wana waza kuiba kura na kuirushia tume madhambi, hivyo ni ngumu sana kudeal na wana siasa.
 
Back
Top Bottom