Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Sisiemu humu wamevaa beji gani? Nimewatafuta sana hii wiki ya tatu siwaoni. Au ni mimi mwenyewe?Nyie ccm hata mkizidi kujifaragua humuwezi kuitoa kasoro IEBC....Bakini na NECCCM YENU TU..
HAMNA AIBU NYIE KWENYE WIZI
Mbona hata USA yalitokea, sio kujustify wizi wa Tume ya CCM.Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Hahaha....... sheria inaangalia haki tuCherera hesabu inampiga chenga.Asilimia 0.01 ya 14000000 ni sawa na 1400!!.Anatengeneza Hoja kukuza mambo tu.
Haki ipi isiyozingatia takwimu sahihi, mkuu? Ama unazungumzia haki ya mwenye mapesa?Hahaha....... sheria inaangalia haki tu
Subiri wanakujaCherera hesabu inampiga chenga.Asilimia 0.01 ya 14000000 ni sawa na 1400!!.Anatengeneza Hoja kukuza mambo tu.
Kwamba IEBC haikujua mchakato unaelekea mahakamani, ama? Kama system ilikuwa-compromised, kama wanavyodai, basi jua kwamba usafi umefanyika huko kisawasawa!..kesi ikienda mahakamani Ccm wataumbuka zaidi kwa jinsi mahakama kuu ya kenya ilivyo huru ukiilinganisha na ya tanzania.
Cc Tindo
Hongereni wakenya kwa kujitambuaMakamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Wewe ndiye hujui hisabati.Hesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400
Sheria siyo hesabuHaki ipi isiyozingatia takwimu sahihi, mkuu?
Ruto tumbo jotoTime ina 7 commissioners 4 commissioner wamekataa matokeo
Alimaanisha 1 percentCherera hesabu inampiga chenga.Asilimia 0.01 ya 14000000 ni sawa na 1400!!.Anatengeneza Hoja kukuza mambo tu.
Bado inapelea make itakuwa elf14Wewe ndiye hujui hisabati.
0.1% ya 14M ni ngapi?
Uko naye hapo, mkuu? Mbona namwona akiandaa hotuba ya uapisho pale ofisini kwake?Ruto tumbo joto
Hana ofisi hajakabidhiwaUko naye hapo, mkuu? Mbona namwona akiandaa hotuba ya uapisho pale ofisini kwake?
Kwani 100% siyo hisabati, mkuu?Sheria siyo hesabu
Kama inatakiwa 100% hiyo ndio Haki yenyewe kinyume na hapo ni batili
Kwani before kuwa president-elect, alikuwa afisa wa Sensa hapa Bongo?Hana ofisi hajakabidhiwa