Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Nyie ccm hata mkizidi kujifaragua humuwezi kuitoa kasoro IEBC....Bakini na NECCCM YENU TU..
HAMNA AIBU NYIE KWENYE WIZI
Hivi Sisiemu humu wamevaa beji gani? Nimewatafuta sana hii wiki ya tatu siwaoni. Au ni mimi mwenyewe?
 
..kesi ikienda mahakamani Ccm wataumbuka zaidi kwa jinsi mahakama kuu ya kenya ilivyo huru ukiilinganisha na ya tanzania.

Cc Tindo
Kwamba IEBC haikujua mchakato unaelekea mahakamani, ama? Kama system ilikuwa-compromised, kama wanavyodai, basi jua kwamba usafi umefanyika huko kisawasawa!
 
Back
Top Bottom