Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Kwamba IEBC haikujua mchakato unaelekea mahakamani, ama? Kama system ilikuwa-compromised, kama wanavyodai, basi jua kwamba usafi umefanyika huko kisawasawa!

..yote hayo, ikiwemo raila kugundua hizo kasoro, yamewezekana kutokana na tume kufanya kazi kwa misingi ya uhuru, uwazi, na usawa kwa wagombea.

..jiulize kama hapa tanzania tume yetu inatoa nafasi kwa vyama kuhakiki na kuhoji kura za wagombea uraisi.

..hapa Tz tume ya uchaguzi kuapisha mawakala wa vyama vya upinzani ni tatizo na mgogoro mkubwa ktk kila uchaguzi.
 
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa

Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu

Wanapeleka ushahidi mahakamani

Source Citizen tv
Hiyu TV ni ya Raila Odinga so hamna jipya
 
Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Hii nafasi ya kukata rufaa ndio haki yenyewe. Tatizo letu tumezoea dhulma na kuona ni kawaida tu. Tuberose katiba yetu Turnhouse kupeleka mahakamani, na kutotoana eti kuoita bila kupingwa.
Unaoijipanga kugombea jiandae kwa kampeni na mapambano.
 
RUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%

TOTAL = 99.999999999999977%

BTW 0.01 of total casted vote is equivalent to 1,400, maafisa wamechemka. Hesabu haitaki siasa
 
Umerusha tuhuma tu, mkuu. Shauri basi tufanyeje hapo, because niko hapa naelekea IEBC kuwatolea uvivu.
 
Hiyo error ya 0.01% wanayoiongelea ni due to approximating error ya kuweka viwango viwili vya desimali, ilaukiweka matokeo interms of viwango kuanzia 5 kuendelea hiyo error inapungua au kuisha kabisa
 
Mwalimu wako wa hesabu nadhani alipata tabu sana
Labda kafanya typing error, mkuu. Emu mpeni subra! Ila sijui unamkosoa kwenye kitu gani hasa, because calculations ziko sawa. Huenda kosa lake ni kuchukua 0.01% badala ya 1% (inayoleta 140,000).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…