Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sina taarifa mkuuKwani before kuwa president-elect, alikuwa afisa wa Sensa hapa Bongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina taarifa mkuuKwani before kuwa president-elect, alikuwa afisa wa Sensa hapa Bongo?
Kwamba IEBC haikujua mchakato unaelekea mahakamani, ama? Kama system ilikuwa-compromised, kama wanavyodai, basi jua kwamba usafi umefanyika huko kisawasawa!
Mwalimu wako wa hesabu nadhani alipata tabu sanaHesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400
Hiyu TV ni ya Raila Odinga so hamna jipyaMakamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Ona Huyu naye!!Hesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400
Ni 0.1% mkuu na sio 0.01%Hesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400
Hii nafasi ya kukata rufaa ndio haki yenyewe. Tatizo letu tumezoea dhulma na kuona ni kawaida tu. Tuberose katiba yetu Turnhouse kupeleka mahakamani, na kutotoana eti kuoita bila kupingwa.Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
0.01 ya kura zilizopigwa ni takribani kura 1,400. Hao mamluki walipiga hesabu wakiwa under pressure. Wameumbuka vibaya sana. Raila ana Roho ya kumwaga damu142,000 ni kura nyingi sababu Ruto na Rais wanatofautiana kura 290,000 hv
William RutoNi 0.1% mkuu na sio 0.01%
wengi walivamiwa na kuumizwa na WASIOJULIKANA na mitabia yenu ya kishenziWalompigia Lowassa walikuwa wangapi na waliwekwa wapi?
Umerusha tuhuma tu, mkuu. Shauri basi tufanyeje hapo, because niko hapa naelekea IEBC kuwatolea uvivu.Kenya ni corrupted sana , nchi ikiwa corrupted ni ngumu kuwa na tume huru, IEBC ni corrupted sio tu Kwa sababu ime mtangaza Ruto kuwa Rais lakini kila miaka Kuna mistakes na tuhuma ambazo hazina majibu, na mbaya zaidi ni wana siasa kuiyumbisha tume, wana siasa wote wana waza kuiba kura na kuirushia tume madhambi, hivyo ni ngumu sana kudeal na wana siasa.
Ni 0.01% na sio 0.1%Wewe ndiye hujui hisabati.
0.1% ya 14M ni ngapi?
It means Prof. pamoja na Waihiga hawakuweza hata kupata jumla ya kura 100% Kenya nzima? Kweli watakuwa wameibiwa! 🙂
Labda kafanya typing error, mkuu. Emu mpeni subra! Ila sijui unamkosoa kwenye kitu gani hasa, because calculations ziko sawa. Huenda kosa lake ni kuchukua 0.01% badala ya 1% (inayoleta 140,000).Mwalimu wako wa hesabu nadhani alipata tabu sana