Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Zoezi la uhakiki limetumia zaidi ya siku 3+, since day 1 wameshindwa kupinga zoezi la uhakiki lisiendelee... Aingii hata akilini
Wamesema, kama unafuatilia vizuri, kwamba kuna technical staff wao wanaochanganua na kuchakacha 🙂 hizo data, wao ni kupitia kuona ukweli wake na kutangaza. Sasa, Wafula Chebukati ameamua kuwatolea uvivu kwa vile wangali wanafunzi sijui?

Amewaambia, Oyaa! Matokeo haya hapa, naenda kuchomoa betri huko (bila kujadiliana wala kushughulikia concerns za awali). Umeelewa sasa?

NB: Naomba usinichoshe sana, because hapa nimepata deal la donge nono, zaidi ya lile la Dear-Mondy, kwenda kumtetea RO Supreme Court.
 
Kobe mzee ww nimekudaka lijinga kabisa
Rudi shule kadai ada wewe chura
Screenshot_20220816-165127.jpg
 
Hilo sio kosa
Katika hesabu hiyo inaitwa round off
Round off gani, mkuu? Umeambiwa kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani nani baba na mama yao, achilia mbali babu na bibi.

Because, ukijulimsha hiyo kwenye kura zote, percentage inakuja 101%. According to them, it means Kenya walikuwepo wapiga-kura hewa 1% = 140,000 (appr.)
 
Round off gani, mkuu? Umeambiwa kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikana baba na mama yao, achilia mbali babu na bibi.

Because, ukijulimsha hiyo kwenye kura zote, percentage inakuja 101%. It means hata Kenya walipokuwepo wapiga-kura hewa 1% = 140,000 (appr.)

Hiyo percentage ya 101 umetolea wapi.? Rudi shule kadai ada yako

Screenshot_20220816-165127.jpg
 
Kule https://forms.iebc.or.ke#/ walikuwa wame-upload forms 34A zipatazo 46,205 kati ya 46,229 hadi hiyo jana.

Ajabu badala ya kumalizia hizo forms 24 zilizosalia ili wale wajumlisha huru nao wafunge hesabu,IEBC imeziondoa forms 4 nakubaki 46,201 hadi hivi sasa.

Kunani wazee wa UWAZI hawataki tu-close ledgers wote?
Itakuwa pengine returning officers walisahau kuweka sahihi. Ngoja wakishaziwekea signature watazi-upload tu, mkuu. Nadhani tuwe na subra.
 
Hiyo percentage ya 101 umetolea wapi.? Rudi shule kadai ada yako

View attachment 2325463
Nimejibu kwa mujibu wa member fulani hapo ameweka figure ya 143,000 ambayo ni sawa na 1%. Otherwise, nimeshaonesha hapo mara kibao tu kwamba 0.01% ya ziada kwenye hiyo 100.01% ya 14M ni sawa na kura 1,400.

0.01% = 1,400
 
I think the 4 commissioners have a valid point.
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa

Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu

Wanapeleka ushahidi mahakamani

Source Citizen tv

Kwa akili ya kawaida tu kama hilo ni la kweli huoni kama walikuwa na hoja ya kuhoji hilo?inshu sio mandate ya kutangaza
Inawezekana vipi kura 143,000 ziwe asilimia 0.01 lakini kura alizopata mgombea mwingine wa urais ni kura 61,969 ambazo ni asilimia 0.44%. Huoni hapo hao makamishna wanachemsha? Yaani namba kubwa iwe na asilimia ndogo na namba ndogo iwe na asilimia kubwa
 
Wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Nimemsikiliza anasema matokeo yalipaswa kuwa proccesed kabla ya kutangazwa na msingi wake umejengwa katika hizo kura laki moja na arobaini na tatu, hivo wana haki ya kwenda mahakamani na kwa ushahidi huo tu mahakama inaweza kufuta matokeo. Wenzetu Kenya wako mbali na katiba yao inseama rais hawezi kuapishwa ikiwa kuna kesi mahakamani, na hii kesi lazima iwe imeamuliwa ndani ya siku 14 hivo kuwa mpole kwanza. Wataendelea kuapisha wabunge ambao wao wataruhusiwa kuingia bungeni mara tu baada ya kuapa na endapo kuna mbunge anapinga matokeo kesi inatakiwa kuendeshwa kwa miezi isiyizidi 6.
 
The same thing, mkuu Geza Ulole . Jibu hapo ni 1,400.

Au, ukichukuka tarakimu ya wapiga-kura kamili (14,213,027), hiyo 0.01% = 1,421 (appr.)
Tatizo kubwa si figure iliyotolewa, jamaa wamejaribu kujenga mashaka katika uadilifu wa watendaji wa Tume.
Wakifanikiwa kuthibitsha uwepo wa kura tata hata 10 tu inatosha kubatilisha uhalali wa matokeo.
 
Kabla ya 2020 zilizopita zina tofauti na hio 2020?
Ebo. Sasa haya malalamiko ndiyo unayafanyia conclusion? Kwa ujumla uchaguzi ulienda vizuri sana. Na bado kuna njia ya mahakama kuangalia kama kila kitu kilikuwa sahihi. Hebu niambie Tanzania mwaka 2020 ilikuwaje?
 
Nimejibu kwa mujibu wa member fulani hapo ameweka figure ya 143,000 ambayo ni sawa na 1%. Otherwise, nimeshaonesha hapo mara kibao tu kwamba 0.01% ya ziada kwenye hiyo 100.01% ya 14M ni sawa na kura 1,400.

0.01% = 1,400
Hizi ni namba Chebukat kachemka hata kura moja haikupaswi kuzidi ni bora zingepunguwa
 
Hata mkipinga matokeo mahakamani hakuna mabadiliko ,subiri uone maigizo ya demokrasia. Hii ndo afrika
Hata kama uchaguzi wao una madudu,lakini huwezi kulinganisha na ujambazi unaofanywa na kikundi Cha ccm kinachoishi Dar.

Huku kwetu hata cm huruusiwi kuingia NAyo chumba Cha kuhesabia kura,matokeo ya uchaguzi wa uraisi bongo hayapingwi mahakamani,yakishatajwa ni msaafu huo,mkuu watume Kenya hachaguliwi na Raisi,huku kwetu Raisi anaweka chawa wake,

Ushenzi wa kupita bila kupingwa,Dunia nzima upo bongo tu!

Mechi ya timu mbili,lakini timu mmoja ndio inachagua waamuzi na lazima wawe wanachama wake!

Polisi ni ya ccm,
Jeshi ni la ccm,
Tume ya uchaguzi ni ya ccm,
Mahakama ni za ccm,

Ndio maana,zelote stephen baada ya kustaafu U RPC,sasa hv ni mwenyekiti wa ccm huko kwao!

Yapo Mengi sana,kama Kenya uchaguzi wao ni kinyesi,wetu ni uharo Tena ule wa mgonjwa wa ukimwi na typhoid,
 
Inawezekana vipi kura 143,000 ziwe asilimia 0.01 lakini kura alizopata mgombea mwingine wa urais ni kura 61,969 ambazo ni asilimia 0.44%. Huoni hapo hao makamishna wanachemsha? Yaani namba kubwa iwe na asilimia ndogo na namba ndogo iwe na asilimia kubwa
Ni kweli kwamba 143,000 = 1% (appr), na wala siyo 0.01%

Angalia vizuri, the 4 commissioners wanazungumzia kasoro ya kura 143,000 ama kasoro ya asilimia 0.01?

143,000 votes = 1%

0.01% = 1,400 votes
 
Hizi ni namba Chebukat kachemka hata kura moja haikupaswi kuzidi ni bora zingepunguwa
Hapo kujitetea mbona rahisi sana tena kwa spindi ya Hypersonic , mkuu? Maana atasema makosa yalifanyika huko kwenye ^ground^ ambako hizo fomu zimetoka.

Sasa yeye angebadilishaje? Yaani azifute kutoka kwa nani miongoni mwa wale wagombea 4? Maana, kama ni mazidi, lazima yapunguzwe hizo kura 1,400.
 
Back
Top Bottom