Wewe panzi kabisa, hesabu hamjui mnakimbilia kulia lia kwa mediaHuna akili bwigila ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe panzi kabisa, hesabu hamjui mnakimbilia kulia lia kwa mediaHuna akili bwigila ww
Wamesema, kama unafuatilia vizuri, kwamba kuna technical staff wao wanaochanganua na kuchakacha 🙂 hizo data, wao ni kupitia kuona ukweli wake na kutangaza. Sasa, Wafula Chebukati ameamua kuwatolea uvivu kwa vile wangali wanafunzi sijui?Zoezi la uhakiki limetumia zaidi ya siku 3+, since day 1 wameshindwa kupinga zoezi la uhakiki lisiendelee... Aingii hata akilini
Kobe mzee ww nimekudaka lijinga kabisaWewe panzi kabisa, hesabu hamjui mnakimbilia kulia lia kwa media
Rudi shule kadai ada wewe churaKobe mzee ww nimekudaka lijinga kabisa
Ni kweliRuto kapitia humo humo kwenye Kura za Nyongeza. Rushwa Kenya Ni kama maji. Hao Makamishna wapewe ulinzi zaidi vinginevyo tutasikia 4 BODIES FOUND DEAD
Kulingana na maelezo ya hi Juliana Cherera ni kwamba asilimia zimezidi na kuwa 100.01 kwa maana hyo ongezeko ni 0.01 ya kura zote.Wewe ndiye hujui hisabati.
0.1% ya 14M ni ngapi?
Round off gani, mkuu? Umeambiwa kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani nani baba na mama yao, achilia mbali babu na bibi.Hilo sio kosa
Katika hesabu hiyo inaitwa round off
Round off gani, mkuu? Umeambiwa kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikana baba na mama yao, achilia mbali babu na bibi.
Because, ukijulimsha hiyo kwenye kura zote, percentage inakuja 101%. It means hata Kenya walipokuwepo wapiga-kura hewa 1% = 140,000 (appr.)
Itakuwa pengine returning officers walisahau kuweka sahihi. Ngoja wakishaziwekea signature watazi-upload tu, mkuu. Nadhani tuwe na subra.Kule https://forms.iebc.or.ke#/ walikuwa wame-upload forms 34A zipatazo 46,205 kati ya 46,229 hadi hiyo jana.
Ajabu badala ya kumalizia hizo forms 24 zilizosalia ili wale wajumlisha huru nao wafunge hesabu,IEBC imeziondoa forms 4 nakubaki 46,201 hadi hivi sasa.
Kunani wazee wa UWAZI hawataki tu-close ledgers wote?
Nimejibu kwa mujibu wa member fulani hapo ameweka figure ya 143,000 ambayo ni sawa na 1%. Otherwise, nimeshaonesha hapo mara kibao tu kwamba 0.01% ya ziada kwenye hiyo 100.01% ya 14M ni sawa na kura 1,400.
I think the 4 commissioners have a valid point.
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu
Wanapeleka ushahidi mahakamani
Source Citizen tv
Inawezekana vipi kura 143,000 ziwe asilimia 0.01 lakini kura alizopata mgombea mwingine wa urais ni kura 61,969 ambazo ni asilimia 0.44%. Huoni hapo hao makamishna wanachemsha? Yaani namba kubwa iwe na asilimia ndogo na namba ndogo iwe na asilimia kubwaKwa akili ya kawaida tu kama hilo ni la kweli huoni kama walikuwa na hoja ya kuhoji hilo?inshu sio mandate ya kutangaza
Nimemsikiliza anasema matokeo yalipaswa kuwa proccesed kabla ya kutangazwa na msingi wake umejengwa katika hizo kura laki moja na arobaini na tatu, hivo wana haki ya kwenda mahakamani na kwa ushahidi huo tu mahakama inaweza kufuta matokeo. Wenzetu Kenya wako mbali na katiba yao inseama rais hawezi kuapishwa ikiwa kuna kesi mahakamani, na hii kesi lazima iwe imeamuliwa ndani ya siku 14 hivo kuwa mpole kwanza. Wataendelea kuapisha wabunge ambao wao wataruhusiwa kuingia bungeni mara tu baada ya kuapa na endapo kuna mbunge anapinga matokeo kesi inatakiwa kuendeshwa kwa miezi isiyizidi 6.Wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Tatizo kubwa si figure iliyotolewa, jamaa wamejaribu kujenga mashaka katika uadilifu wa watendaji wa Tume.The same thing, mkuu Geza Ulole . Jibu hapo ni 1,400.
Au, ukichukuka tarakimu ya wapiga-kura kamili (14,213,027), hiyo 0.01% = 1,421 (appr.)
Ebo. Sasa haya malalamiko ndiyo unayafanyia conclusion? Kwa ujumla uchaguzi ulienda vizuri sana. Na bado kuna njia ya mahakama kuangalia kama kila kitu kilikuwa sahihi. Hebu niambie Tanzania mwaka 2020 ilikuwaje?
Hizi ni namba Chebukat kachemka hata kura moja haikupaswi kuzidi ni bora zingepunguwaNimejibu kwa mujibu wa member fulani hapo ameweka figure ya 143,000 ambayo ni sawa na 1%. Otherwise, nimeshaonesha hapo mara kibao tu kwamba 0.01% ya ziada kwenye hiyo 100.01% ya 14M ni sawa na kura 1,400.
0.01% = 1,400
Hata kama uchaguzi wao una madudu,lakini huwezi kulinganisha na ujambazi unaofanywa na kikundi Cha ccm kinachoishi Dar.
Huku kwetu hata cm huruusiwi kuingia NAyo chumba Cha kuhesabia kura,matokeo ya uchaguzi wa uraisi bongo hayapingwi mahakamani,yakishatajwa ni msaafu huo,mkuu watume Kenya hachaguliwi na Raisi,huku kwetu Raisi anaweka chawa wake,
Ushenzi wa kupita bila kupingwa,Dunia nzima upo bongo tu!
Mechi ya timu mbili,lakini timu mmoja ndio inachagua waamuzi na lazima wawe wanachama wake!
Polisi ni ya ccm,
Jeshi ni la ccm,
Tume ya uchaguzi ni ya ccm,
Mahakama ni za ccm,
Ndio maana,zelote stephen baada ya kustaafu U RPC,sasa hv ni mwenyekiti wa ccm huko kwao!
Yapo Mengi sana,kama Kenya uchaguzi wao ni kinyesi,wetu ni uharo Tena ule wa mgonjwa wa ukimwi na typhoid,
Ni kweli kwamba 143,000 = 1% (appr), na wala siyo 0.01%Inawezekana vipi kura 143,000 ziwe asilimia 0.01 lakini kura alizopata mgombea mwingine wa urais ni kura 61,969 ambazo ni asilimia 0.44%. Huoni hapo hao makamishna wanachemsha? Yaani namba kubwa iwe na asilimia ndogo na namba ndogo iwe na asilimia kubwa
Unataka kugeuka kichekesho? Tanzania kulishafanyika uchaguzi wa wazi kama huu wa Kenya?Kabla ya 2020 zilizopita zina tofauti na hio 2020?
Hapo kujitetea mbona rahisi sana tena kwa spindi ya Hypersonic , mkuu? Maana atasema makosa yalifanyika huko kwenye ^ground^ ambako hizo fomu zimetoka.Hizi ni namba Chebukat kachemka hata kura moja haikupaswi kuzidi ni bora zingepunguwa