Unataka kugeuka kichekesho? Tanzania kulishafanyika uchaguzi wa wazi kama huu wa Kenya?
Wewe una tatizo moja. Umejaa tabia ya ''bisha kwanza fikiri baadae''. Kipindi kile cha uchaguzi mwingine yale matokeo yaliyotenguliwa mahakamani yaliyenguliwa na shetani? Hujui ile hukumu ilikuwa muhimu sana na ndiyo iliweka maelekezo muhimu kuhusu hatua ambazo uchaguzi unatakiwa ufanywe?Hata mkipinga matokeo mahakamani hakuna mabadiliko ,subiri uone maigizo ya demokrasia. Hii ndo afrika
Yes! 2020 kulikuwa hakuna uchaguzi bali uporaji ulipachikwa jina la uchaguzi. 2020 ilikuwa ni kilele cha uchaguzi mbovu kuwahi kutokea.wewee umetaja 2020 pekee it means unaona uchaguzi huo ndio mbovu kuliko zilizopita
Wewe una tatizo moja. Umejaa tabia ya ''bisha kwanza fikiri baadae''. Kipindi kile cha uchaguzi mwingine yale matokeo yaliyotenguliwa mahakamani yaliyenguliwa na shetani? Hujui ile hukumu ilikuwa muhimu sana na ndiyo iliweka maelekezo muhimu kuhusu hatua ambazo uchaguzi unatakiwa ufanywe?
Yes! 2020 kulikuwa hakuna uchaguzi bali uporaji ulipachikwa jina la uchaguzi. 2020 ilikuwa ni kilele cha uchaguzi mbovu kuwahi kutokea.
Fuatilia maelezo yao kamili wametaja yote mawili asilimia 0.1 na hiyo figure 143 000Ni kweli kwamba 143,000 = 1% (appr), na wala siyo 0.01%
Angalia vizuri, the 4 commissioners wanazungumzia kasoro ya kura 143,000 ama kasoro ya asilimia 0.01?
143,000 votes = 1%
0.01% = 1,400 votes
Mzee anapambana mpaka mwishoImetoka hiyo,mzee odinga akalee wajukuu sasa
Sasa huoni hiyo ni demokrasia? Kitendo cha mtu kwenda mahakamani ndiyo demokrasia yenyewe maana hapa kwetu hairuhusiwi katu kwenda mahakamani hata kama mshindi ametangazwa huku paliwa na dosari za wazi.Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Hana bahati ya kuwa rais atafute kazi nyingineMzee anapambana mpaka mwisho
Basi, ngoja tungoje. Bila shaka wataleta ufafanuzi kamili. Labda mahesabu yameshabadilika siku hizi.Fuatilia maelezo yao kamili wametaja yote mawili asilimia 0.1 na hiyo figure 143 000
Ni sahihi aslimia kuzidi 100%?Wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Hiyo labda kwa tanzagiza ndo ingekuwa imeisha. Ila kwa nchi ya wenzetu ambako kuna demokrasia ya kweli basi wakienda mahakamani ku challenge uchaguzi unaweza kufutwa kama ilivyokuwa mwaka 2017.Imetoka hiyo,mzee odinga akalee wajukuu sasa
Hata kama idadi amekosea lakini hizo hizo kura 1400 bado zina invalidate the whole results.Cherera hesabu inampiga chenga.Asilimia 0.01 ya 14000000 ni sawa na 1400!!.Anatengeneza Hoja kukuza mambo tu.
Acha kukariri ndugu yangu.Mkuu kama chibukati mwenyewe alimuondolea Ruto kura 10000 zilizkuwa zimeongezwa katika kituo kimoja tu,ni ushahidi pasina shaka kuna kura nyingi sana ameiba.
Pole yake Mzee Odinga amisha andikiwa fungu LA kukosa,miaka yote anaibiwa kura-hamna mgombea aliyewahi kumshinda kwa kura lakini ndio hivyo hana bahati.
Sasa mbona huwa tunalalamika hapa NEC ikitangaza matokeo.Kumbe huwa hatuna hoja pia.Wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
Kwa hiyo unataka kusema nini?Hata kama idadi amekosea lakini hizo hizo kura 1400 bado zina invalidate the whole results.
Thubutu,na hapa mpaka tunaanzisha nyuzi lukuki ni kwa ajili ya uwazi wa mambo yanavyoendeshwa Kenya mpaka tumekuwa na jeuri ya kuwakebehi hao Makamishina.Hapa kwetu hata nguvu ya kuanzisha tu hizo mada za kukosoa huwa hatuna.NEC hivi wanaweza kutoa kasoro kwenye uchaguz wa mgombea wa ccm
Ova
Wanatofautina kura 208,000142,000 ni kura nyingi sababu Ruto na Rais wanatofautiana kura 290,000 hv
hata hizo 143,000 akiongezewa Raila bado hamfikii HE Dr. Ruto (PhD), President-Elect, C-in-C (7,176,141 votes=50.82%)Hongereni wakenya kwa kujitambua