Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Hiyo ni kawaida kwenye summary, vinginevyo asilimia za Ruto ni 50.489885989% na Odinga ni 48.849059388%. Wote walipandishiwa decimal point ya 2 kuwa 9 kwa Ruto, na kuwa 5 kwa Odinga. Hakuna mgombea kati ya Ruto na Odinga aliyeathirika kwa kutumia decimal point mbili!. Kama asilimia za kura za wagombea wote zikijumlishwa bila ku-round-off to two decimal points jumla inakuja 100%.

Nilitegemea Odinga aseme kuna kura zangu kadhaa nimeibiwa kitu ambacho hawezi kuthubutu!! Akubali tu kuwa mzee mzima kapigwa mweleka pamoja na mbeleko ya Uhuru Kenyatta! (ambaye kwa aibu pia yuko kimyaaaa!!)
Hesabu za darasa la 3 za decimal hizo decimal points ukijumlisha lazima zikupe 1

Hiyo 0.01 imetoka wapi?
 
Sasa hapa tatizo ni hizo asilimia au mchakato haukufuatwa wa kuhakiki kura..ngoja waende mahakamani tuone kama sisi tunajua zaidi au hatujuia au vipi.hapo ndio tutajua kuwa hatujui au tunajua.
 
Moja ukiweka kadirio la juu nyingine unaweka kadirio la Chini ili Jumla yake lazima iwe 1

Simple Mathematics by Prof Omary Kiputiputi

Ndio sababu Wanasheria wanauliza hiyo 0.01% imetoka wapi?
Ngoja nikuache jinsi ulivyo, mkuu. Naandaa hapa arguments za kuwasilisha Supreme Court Jumatatu ijayo ili kumtetea RO.
 
Moja ukiweka kadirio la juu nyingine unaweka kadirio la Chini ili Jumla yake lazima iwe 1

Simple Mathematics by Prof Omary Kiputiputi

Ndio sababu Wanasheria wanauliza hiyo 0.01% imetoka wapi?
Hayo ni mambo ya apriximation na decimal point haina maana kwamba kuna mtu kaiba kura au kaongezewa kura.
 
Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa

Tuwaige hata wanaruhusu kupinga matokeo ya Urais mahakamani na wanasikilizwa. Tanzania kapinge sasa, kama hujafunguliwa kesi ya kurusha bomu Ikulu🤣🤣🤣
 
Kama wamekosea hesabu rahisi namna hiyo je kwa hesabu kubwa kubwa ilikuwaje?!!
Nani amekosea, mkuu? Wale commissioners 4 ama gwiji Wafula Chebukati? Because wale 4 wanasema 0.01% = 140,000. At the same time, Wafula Chebukati anasema 0.01% = 1,400.
 
Back
Top Bottom