Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mkenya gani hapendi pesa?Sema nini? Huyo haongeki. Hata Raila mwenyewe hana hela ya kumshikisha. Anafanya kwa kujitolea tu, kiuzalendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkenya gani hapendi pesa?Sema nini? Huyo haongeki. Hata Raila mwenyewe hana hela ya kumshikisha. Anafanya kwa kujitolea tu, kiuzalendo.
Vilaza kama wewe hawastahili kuchangia chochote jamiiforum. Halafu Vilaza wenzio wamerukia kukupa like bila kutafakari.Hesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400
Kosa lake, mkuu? Usikute wewe ndiye kilaza.Vilaza kama wewe hawastahili kuchangia chochote jamiiforum. Halafu Vilaza wenzio wamerukia kukupa like bila kutafakari.
Hesabu za darasa la 3 za decimal hizo decimal points ukijumlisha lazima zikupe 1Hiyo ni kawaida kwenye summary, vinginevyo asilimia za Ruto ni 50.489885989% na Odinga ni 48.849059388%. Wote walipandishiwa decimal point ya 2 kuwa 9 kwa Ruto, na kuwa 5 kwa Odinga. Hakuna mgombea kati ya Ruto na Odinga aliyeathirika kwa kutumia decimal point mbili!. Kama asilimia za kura za wagombea wote zikijumlishwa bila ku-round-off to two decimal points jumla inakuja 100%.
Nilitegemea Odinga aseme kuna kura zangu kadhaa nimeibiwa kitu ambacho hawezi kuthubutu!! Akubali tu kuwa mzee mzima kapigwa mweleka pamoja na mbeleko ya Uhuru Kenyatta! (ambaye kwa aibu pia yuko kimyaaaa!!)
Unaelewa maana ya decimals zisizokoma? Mfano: 50.489885989%Hesabu za darasa la 3 za decimal hizo decimal points ukijumlisha lazima zikupe 1
Hiyo 0.01 imetoka wapi?
Moja ukiweka kadirio la juu nyingine unaweka kadirio la Chini ili Jumla yake lazima iwe 1Unaelewa maana ya decimals zisizokoma? Mfano: 50.489885989%
Ngoja nikuache jinsi ulivyo, mkuu. Naandaa hapa arguments za kuwasilisha Supreme Court Jumatatu ijayo ili kumtetea RO.Moja ukiweka kadirio la juu nyingine unaweka kadirio la Chini ili Jumla yake lazima iwe 1
Simple Mathematics by Prof Omary Kiputiputi
Ndio sababu Wanasheria wanauliza hiyo 0.01% imetoka wapi?
Kama wamekosea hesabu rahisi namna hiyo je kwa hesabu kubwa kubwa ilikuwaje?!!Ngoja nikuache jinsi ulivyo, mkuu. Naandaa hapa arguments za kuwasilisha Supreme Court Jumatatu ijayo ili kumtetea RO.
Hayo ni mambo ya apriximation na decimal point haina maana kwamba kuna mtu kaiba kura au kaongezewa kura.Moja ukiweka kadirio la juu nyingine unaweka kadirio la Chini ili Jumla yake lazima iwe 1
Simple Mathematics by Prof Omary Kiputiputi
Ndio sababu Wanasheria wanauliza hiyo 0.01% imetoka wapi?
Sheria haiko hivyoHayo ni mambo ya apriximation na decimal point haina maana kwamba kuna mtu kaiba kura au kaongezewa kura.
Hujui hesabu omba usaidiweHesabu za wapi hizo? 0.01% ya 14M ni only 1400
Wapiga kelele za tuwaige wakenya tunawasubiria hapa
Kosa lake ni kusema 0.01% ya 14m ni 1400, tena kwa kukejeli waliotoa jibu sahihi.Kosa lake, mkuu? Usikute wewe ndiye kilaza.
Mbona ni sahihi, mkuu? Au jibu lako ni lipi?Kosa lake ni kusema 0.01% ya 14m ni 1400, tena kwa kukejeli waliotoa jibu sahihi.
Nani amekosea, mkuu? Wale commissioners 4 ama gwiji Wafula Chebukati? Because wale 4 wanasema 0.01% = 140,000. At the same time, Wafula Chebukati anasema 0.01% = 1,400.Kama wamekosea hesabu rahisi namna hiyo je kwa hesabu kubwa kubwa ilikuwaje?!!
Wewe mkenya unaaibisha jukwaa bwana. Hiyo ni hesabu rahisi. Jibu lake ni 140,000.Mbona ni sahihi, mkuu? Au jibu lako ni lipi?
Wewe mkenya unaaibisha jukwaa bwana. Hiyo ni hesabu rahisi. Jibu lake ni 140,000.
Ma Commissiioner wa mchongo wamepiga hela kwa babaa, wanaangalia namna ya kumpoza.Sasa ww upo Ikwiriri unabishana na Makamishna wa IEBC?