Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ndugu watu wanaangalia wapi watafaidika kwa jasho lao, huwezi kutumia resources kwenye kitu kisicholipa kama mahindi. Inaleta mantiki ikiwa utapeleka sehemu kubwa ya nyenzo za uzalishaji kwenye kitu kinacholipa, yaani punguza kuzalisha mahindi ongeza kuzalisha soya.Tusiacha kulima mahindi na kuhamia kwenye soya kwa kasi kwa kufanya hivyo tutaweza kulisha mifugo na sisi kukosa menu...
Anyway hio ndio hali halisi ya dunia hii iliyokaa kichwa chini miguu juu...
“Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.”Ndugu watu wanaangalia wapi watafaidika kwa jasho lao, huwezi kutumia resources kwenye kitu kisicholipa kama mahindi. Inaleta mantiki ikiwa utapeleka sehemu kubwa ya nyenzo za uzalishaji kwenye kitu kinacholipa, yaani punguza kuzalisha mahindi ongeza kuzalisha soya.
Misemo ya wazungu hio.“Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.”
Misemo ya wazungu hio.
Wakulima wanataka pesa tu mifukoni mwao.
Usihofu mkuu, kilimo cha maharage na mahindi kinaweza kufanya kwa mazao yote kulimwa kwenye shamba moja sambamba kwa wakati mmoja.mkulima anaweza kupata mahindi na akavuna pesa zake kenye soya...cha msingi azingatie spacing na ushauri wa kitaalam wambegu, mbolea na rotuba ya sehemu husika.Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China
Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika
Ili hio pesa waifanyie nini...,Misemo ya wazungu hio.
Wakulima wanataka pesa tu mifukoni mwao.
Unaweza yataja?Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China
Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika
Ndugu umeibua mada nyingine tena. Nimekuwa nikiangalia makala mbalimbali za video na nimeona kuna ukinzani wa hoja kwa watu wanaotamani kuishi maisha yanayoshabihiana na mazingira asili na watu waliochagua kuishi maisha ya ustaarabu wa kisasa, maisha ya mjini yanayotegemea bidhaa mbalimbali za kununuliwa ambazo zinatokana na kubadili/kuharibu mazingira asilia.Ili hio pesa waifanyie nini...,
We live in a Closed System kama kukiwa na uhaba wa mahindi kutokana na upungufu wa kilimo cha mahindi mahindi hayo yatapanda bei kupelekea hizo pesa walizopata kutokukidhi haja. Mwisho wa siku unaweza kujikuta mkulima anapewa ruzuku ili kulima hayo mahindi, ambayo itapelekea kodi zetu kutumika huko.
By the way Kama Red Indians nao ni wazungu hapo sawa..., sababu msemo huu walikuwa wanawaambia wazungu (wanaoharibu mazingira)
Anyway sio kwamba ninalaumu ndio maana nikasema ni hali halisi ya hii dunia iliyokaa kichwa chini miguu juu (Most things we do, don't make sense)
Misemo ya Kibeberu“Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.”
Indeed kwa sasa civilisation imeleta maendeleo ambayo kwa population ya sasa isingewezekana kabla..., watu wanaishi zaidi na kupata their wants (wants sio needs) kwa urahisi zaidi....Ndugu umeibua mada nyingine tena. Nimekuwa nikiangalia makala mbalimbali za video na nimeona kuna ukinzani wa hoja kwa watu wanaotamani kuishi maisha yanayoshabihiana na mazingira asili na watu waliochagua kuishi maisha ya ustaarabu wa kisasa, maisha ya mjini yanayotegemea bidhaa mbalimbali za kununuliwa ambazo zinatokana na kubadili/kuharibu mazingira asilia.
Ubaya ni kwamba primitive civilization ilipunguzwa nguvu na kuonekana kwamba 'haifai' ili kuingiza mfumo mpya wa maisha uliosababishwa na mapinduzi ya viwanda. Na hii ndio modern civilization ambayo watu wengi wanaipenda, wanatoka vijijini kwenye maisha ya asili na kwenda mjini kwenye maisha ya 'uharibifu' ya kisasa.
Wengi wetu tunatamani kuishi kwenye nyumba ya kisasa, gari nzuri, kusoma elimu inayosaidia kukidhi na kukuza modern civilization n.k; yote haya yanahitaji pesa na kwa kuwa mtindo wa maisha umebadilika si wa kale tena basi yatupasa kufanya shughuli inayoleta mantiki kiuchumi.
Maneno meeeeeeeeengi,cha msingi pesa mkononi.Full stopIli hio pesa waifanyie nini...,
We live in a Closed System kama kukiwa na uhaba wa mahindi kutokana na upungufu wa kilimo cha mahindi mahindi hayo yatapanda bei kupelekea hizo pesa walizopata kutokukidhi haja. Mwisho wa siku unaweza kujikuta mkulima anapewa ruzuku ili kulima hayo mahindi, ambayo itapelekea kodi zetu kutumika huko.
By the way Kama Red Indians nao ni wazungu hapo sawa..., sababu msemo huu walikuwa wanawaambia wazungu (wanaoharibu mazingira)
Anyway sio kwamba ninalaumu ndio maana nikasema ni hali halisi ya hii dunia iliyokaa kichwa chini miguu juu (Most things we do, don't make sense)
Ukienda kwenye IG page ya Bashe yameorodheshwa baadhi ya makampuni.Habari yako iko robo tu.
Ungetaja hayo makampuni na anauani zake ili tuwasiliane nazo