What are you talking about Amigo, usichukulie kila anayentoa maoni yake hapa ni average Joe!!
Nani kakwambia products zote zinazo toka Uchina ni of inferior quality? Tembelea house holds zote huko Merikali angalia majority ya vifaa vinavyo tumiwa kwenye kaya vinatoka wapi kama sio Uchina,China imejenga viwanda huko Merikani vya kuzalisha washing machines, dryers, fridge, airconditioners,vacuum cleaners etc majority ya products-hizo zinatumia teknolojia ya artificial intelligence, je, ni wapi uliwahi kusikia Wamerika wakilalamikia quality za products za Uchina zinazo zalishwa Nchini mwao au kuwa imported from China?
Tatizo la wengi wenu linatokana na propaganda mnazo kalilishwa na western media (MSM) specifically CNN mnazikubali raw bila ya ku-digest nini kinaendelea nyuma ya pazia. FYI ukitaka high quality products kutoka Uchina utapata, ukitaka low quality products vile vile unapata chaguo ni lako.
Utadharu je, taifa ambalo linamiliki thermonuclear bombs tangu miaka ya sitini pamoja na hypersonic delivery system zakusafirisha nuklia payloads popote Duniani - mpaka sasa Amerika haina such formidable hypersonic missiles, ni Urusi tu yenye missiles kama hizo,Uchina ndio Taifa pekee lililo fanikiwa kuunda a truly 5G commmucation teknology, hivi sasa Wachina wanafanya majaribio ya 6G huku Merikani hiko busy kuipiga vita/hujumu 5G ya Wachina kwa visingizio mbali mbali na vitisho wakiwa na lengo la kutisha potential costumers wa kununua teknolojia ya 5G kutoka Uchina, Wachina wamefanikiwa kupeleka wana anga in outer space na kurusha chombo kingine kwenda mwezini kuchimba udongo na kurudisha Duniani, Wachina waliwahi kufanikiwa kurusha chombo kwenda upande wa pili wa mwezi upande ambao hauonekani hapa Duniani, kikatuwa salama na kutuma picha Duniani kwa kuwasiliiana na stations hapa Duniani 24X7, kitu ambacho Wamerika na Warusi walishindwa kufanikisha miaka ya nyuma kutokana na ugumu wa mawimbi ya radio communication kushindwa kuzunguka upande wa pili wa mwezi-lakini wachina walifanikiwa ku-communicate na chombo chao in real time, je, Wachina walitumia mbinu zipi za kisayansi kufanikisha mawasiliano ambayo America na Russia walishindwa miaka nenda rudi - juzi juzi hapa Wachina wamerusha chombo kwenda kwenye sayari ya mars,Wachina vile wanaunda fastest super computers in the World, wana unda Quatum computers na radars,wanaunda ndege za abiria za vita na za mizigo mara ngapi umesikia zimeanguka. Tanzania tunazo ndege za vita kutoka Uchina tangu miaka ya 1970s zipo mpaka leo,TAZARA kuna Diesel hydraulic transmission locomotives toka Uchina nyingi ziliundwa mwishoni mwa miaka ya sabini bado zinafanya kazi ya kuvuta abiria na mizigo, wewe unakuja hapa na kudai kwamba products zote za Uchina ni inferior kwa kuwa CNN and like mind wametangaza hivyo.
Sasa tuje kwenye magari, tatizo ni hilo hilo la kutawaliwa na remnant colonial mentality ya kuhusudu wazungu, magari kama hayaundwi Merikani au Ulaya basi wewe unayachukulia hayana ubora wowote,tembelea bara la Africa,Asia na Latini Amerika angalia majority ya heavy duty trucks and tankers yameundwa na Taifa gani, mabasi ya abiria je? kwa taarifa yako hata huko Amerika kuna miji inatumia EV buses yanayo undwa huko Uchina,eti "mtu mwenye akili timamu awezi kununua gari kutoka China!!" dharua gani hizi wakati wewe uwezi hata kutengeneza pini, baadhi ya wachina kununua/endesha magari yanayo undwa kutoka mataifa mengine wewe hilo linakushangaza nini, tulio bahatika kutembelea mataifa ya wenzetu mbona kwa mfano miji ya Uingereza wenyeji wanaendesha magari ya kutoka Japan, Italy,Ujerumani,Spain na former Yugoslavia nk - unataka kusema magari yanayo zalishwa nchini Uingereza ni inferior ndio maana wenyeji wana prefer foreign vehicles kuliko domestic stuff? Ukitembelea miji ya Ujerumani trend ni hiyo hiyo including miji ya huko Merikani - bottom line is: baadhi ya watu kupendelea kununua magari ya nje akumaanishi magari yanayo zalishwa ndani ya nchi hayafahi, unabeza beza mpaka magari ya kichina yanayo tumiwa na Polisi,hukoje lakini?