Makampuni makubwa ya EV China

Makampuni makubwa ya EV China

Mbona uchina ameanza kulialia kwenye issue ya magari ya tesla au mwenzangu hujazinyaka bado?!
Kwani magari ya TESLA yanaundwa kwa teknolojia gani ya ajabu ambayo wana sayansi wa Kichina hawana uwezo ku-emulate? Kumbuka Uchina ya leo sio ya miaka ya 1940s.

Kudai kwamba Uchina inaweza kulizwa na magari ya TESLA hizo ni propaganda za media za magharibi, jaribu kufatilia source ya habari hizo potofu utakuta source ni huko huko magharibi.

Ungesema labda magari ya TESLA ni ya bei mbaya ukilinganisha na magari yanayo zalishwa huko Uchina - hapo utaeleweka.

Ukweli utabaki kwamba magari ya EV kutoka Uchina ndiyo yatapiku magari ya TESLA muda si mrefu kuanzia sasa - tukiwa ahi utakuja kuniambia.
 
Kwani na hii issue ya kuwa the world is america unapingana nayo
Mkuu, elimu yangu ya Jeografia shule ya msingi ilinifundisha kwamba Dunia ina mabara saba na bahari tano - Amerika kasikasini ni moja wapo ya mabara yanayo unda Dunia - wanao fikiri the World is America are grossly mistaken and they know it.
 
Unaandika maneno mengi wakati hujui chochote.
Ungekuwa unaweka maneno yako na evidences ingesaidia sana. Tatizo lako hujui. Unaropoka tu na unazi. Ukiwa hujui kitu uwe unakubali kufundishwa.
Unajiaibisha bure.

Nimekuwekea aina ya Makampuni bado ubapiga kelele tu.
Kujifanya unajua kitu wakati hujui ni upumbavu.
View attachment 1736355
Mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekujuza kuwa SGMW ni ushirika wa kibiashara wa kampuni tatu tofauti, yaani joint venture huku mojawapo ya kampuni hizo ni General Motors ya Kimarekani. Wewe "unayejua" ulishindwa kufahamu hilo hapo awali.

Mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekufahamisha kuhusu muundo/mfumo wa uzalishaji na utendaji kazi wa SGMW joint venture ambao ni General Motors Global Manufacturing System (GM-GMS) wa kampuni ya uzalishaji magari ya General Motors ya Kimarekani.

Mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekufahamisha kuwa joint venture ni moja ya aina za business entities. Nashukuru kuwa umeleta ushahidi kuthibitisha kile nilichokisema.

Isitoshe, mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekujulisha kuwa California ndio global powerhouse ya teknolojia duniani (cutting edge tech). Kwa maneno mengine, ndipo yalipo makao makuu ya teknolojia duniani (Silicon Valley). Unahitaji evidence gani kuhusu hili?

Anayeleta unazi hapa ni nani? Nikisema kuwa California ni global powerhouse for technology/innovation ni unazi? Unaelewa maana ya unazi?

California is the global powerhouse/center for high technology and innovation. That's a fact!
 
Yaani wewe mbumbumbu ndio wa kunieleza chochote. 😀 😀😀
 
Kwenye masuala ya Technology China inakimbia kwa kasi ya mwanga.
Yafuatayo ni makampuni makubwa ya Electric Vehicles in China
1. Xpeng
2. NIO

Haya ndio makampuni makubwa yanayotengeneza EV nchini China na yanamilkiwa na wachina wenyewe.

Xpeng
Hii kampuni inatengeneza magari:-
Wapo SUV G3
View attachment 1735882
Sedan P7
View attachment 1735884

NIO
Wapo na Sport EV EP 9
View attachment 1735885

SUV EC6
View attachment 1735886

SUV ES6
View attachment 1735887

SUV ES8
View attachment 1735889

NB: Ndio maana USA anahaha sana kwa sasa.
Sasa kwanini appearence ya gari zake anawaiga wazungu?
 
Mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekujuza kuwa SGMW ni ushirika wa kibiashara wa kampuni tatu tofauti, yaani joint venture huku mojawapo ya kampuni hizo ni General Motors ya Kimarekani. Wewe "unayejua" ulishindwa kufahamu hilo hapo awali.

Mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekufahamisha kuhusu muundo/mfumo wa uzalishaji na utendaji kazi wa SGMW joint venture ambao ni General Motors Global Manufacturing System (GM-GMS) wa kampuni ya uzalishaji magari ya General Motors ya Kimarekani.

Mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekufahamisha kuwa joint venture ni moja ya aina za business entities. Nashukuru kuwa umeleta ushahidi kuthibitisha kile nilichokisema.

Isitoshe, mimi huyo "nisiyejua chochote" ndiye niliyekujulisha kuwa California ndio global powerhouse ya teknolojia duniani (cutting edge tech). Kwa maneno mengine, ndipo yalipo makao makuu ya teknolojia duniani (Silicon Valley). Unahitaji evidence gani kuhusu hili?

Anayeleta unazi hapa ni nani? Nikisema kuwa California ni global powerhouse for technology/innovation ni unazi? Unaelewa maana ya unazi?

California is the global powerhouse/center for high technology and innovation. That's a fact!
Anasema ushabiki wakati yeye mwenyewe ndiye shabiki!
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi nunua feki za China.

Picha nzuri, ukitumia miezi mitatu utalikimbia gari lako.

Na hizo kampuni za China kwanini haziuzi Ulaya na US?
 
Kinacho zungumzwa hapa ni manufacturing of Electric Vehicles - sio masuala ya semiconductor fabrication ambayo Silcon Valley ndio vinara.

Watu wanao beza beza Uchina wanakuwa driven tu na ushabeki husio na mantiki, to them the World is America!! Mambo yanavyo elekea ndani ya miaka mitano China ndio itakuwa inaongoza katika uundaji wa EV including mabasi na high speed electric trains zinazo uzika sana Duniani.

Eleon Musk alilazimika sana kuwekeza Uchina kwa kujenga kiwanda cha kuunda EV aina ya TESLA kama mbinu moja wapo ya kudhibiti kasi ya Uchina katika uundaji wa EV, lakini mambo yanavyo elekea naona Musk atapata wakati mgumu katika harakati zake za kutaka kuwapiku Wachina katika biashara ya uundaji na uuzaji wa EV Duniani, binafsi naona ingekuwa ni vema kama E. Musk angewekea mkazo kwenye biashara yake yenye fahida kubwa inayo husu uundaji wa carrier rockets i.e aendeleze biadhara yake kwenye masuala ya space exploration kuliko biashara ya uundaji wa magari ya EV, hivi sasa USA ikubali kwamba Uchina imekwisha shindikana katika nyanja nyingi za kisayansi na teknolojia licha ya kupigwa vita vya chini chini vya kiuchumi na USA Administration, ingekuwa ni vema kama USA na Uchina wangeshirikiana katika nyanja za sayansi na teknolojia kuliko kuhujumiana kiuchumi. Hayo ni maoni yangu.
Hoja ya hovyo sana hii.

Tesla anauza magari dunia nzima. Na mauzo makubwa yako hukohuko China.

Hao wachina wanauzia wapi magari yao? Hatuyaoni hayo magari nje ya Uchina.

Na wa taarifa yako, hao wachina wanapendelea zaidi foreign brands sio kwenye magari tu, hata consumer electronics.

Hizo brands za Uchina bado inferior sana. Huku Africa ukiacha zile walizopewa polisi, nani mwenye akili timamu akanunua gari la kichina?
 
What are you talking about Amigo, usichukulie kila anayentoa maoni yake hapa ni average Joe!!

Nani kakwambia products zote zinazo toka Uchina ni of inferior quality? Tembelea house holds zote huko Merikali angalia majority ya vifaa vinavyo tumiwa kwenye kaya vinatoka wapi kama sio Uchina,China imejenga viwanda huko Merikani vya kuzalisha washing machines, dryers, fridge, airconditioners,vacuum cleaners etc majority ya products-hizo zinatumia teknolojia ya artificial intelligence, je, ni wapi uliwahi kusikia Wamerika wakilalamikia quality za products za Uchina zinazo zalishwa Nchini mwao au kuwa imported from China?

Tatizo la wengi wenu linatokana na propaganda mnazo kalilishwa na western media (MSM) specifically CNN mnazikubali raw bila ya ku-digest nini kinaendelea nyuma ya pazia. FYI ukitaka high quality products kutoka Uchina utapata, ukitaka low quality products vile vile unapata chaguo ni lako.

Utadharu je, taifa ambalo linamiliki thermonuclear bombs tangu miaka ya sitini pamoja na hypersonic delivery system zakusafirisha nuklia payloads popote Duniani - mpaka sasa Amerika haina such formidable hypersonic missiles, ni Urusi tu yenye missiles kama hizo,Uchina ndio Taifa pekee lililo fanikiwa kuunda a truly 5G commmucation teknology, hivi sasa Wachina wanafanya majaribio ya 6G huku Merikani hiko busy kuipiga vita/hujumu 5G ya Wachina kwa visingizio mbali mbali na vitisho wakiwa na lengo la kutisha potential costumers wa kununua teknolojia ya 5G kutoka Uchina, Wachina wamefanikiwa kupeleka wana anga in outer space na kurusha chombo kingine kwenda mwezini kuchimba udongo na kurudisha Duniani, Wachina waliwahi kufanikiwa kurusha chombo kwenda upande wa pili wa mwezi upande ambao hauonekani hapa Duniani, kikatuwa salama na kutuma picha Duniani kwa kuwasiliiana na stations hapa Duniani 24X7, kitu ambacho Wamerika na Warusi walishindwa kufanikisha miaka ya nyuma kutokana na ugumu wa mawimbi ya radio communication kushindwa kuzunguka upande wa pili wa mwezi-lakini wachina walifanikiwa ku-communicate na chombo chao in real time, je, Wachina walitumia mbinu zipi za kisayansi kufanikisha mawasiliano ambayo America na Russia walishindwa miaka nenda rudi - juzi juzi hapa Wachina wamerusha chombo kwenda kwenye sayari ya mars,Wachina vile wanaunda fastest super computers in the World, wana unda Quatum computers na radars,wanaunda ndege za abiria za vita na za mizigo mara ngapi umesikia zimeanguka. Tanzania tunazo ndege za vita kutoka Uchina tangu miaka ya 1970s zipo mpaka leo,TAZARA kuna Diesel hydraulic transmission locomotives toka Uchina nyingi ziliundwa mwishoni mwa miaka ya sabini bado zinafanya kazi ya kuvuta abiria na mizigo, wewe unakuja hapa na kudai kwamba products zote za Uchina ni inferior kwa kuwa CNN and like mind wametangaza hivyo.

Sasa tuje kwenye magari, tatizo ni hilo hilo la kutawaliwa na remnant colonial mentality ya kuhusudu wazungu, magari kama hayaundwi Merikani au Ulaya basi wewe unayachukulia hayana ubora wowote,tembelea bara la Africa,Asia na Latini Amerika angalia majority ya heavy duty trucks and tankers yameundwa na Taifa gani, mabasi ya abiria je? kwa taarifa yako hata huko Amerika kuna miji inatumia EV buses yanayo undwa huko Uchina,eti "mtu mwenye akili timamu awezi kununua gari kutoka China!!" dharua gani hizi wakati wewe uwezi hata kutengeneza pini, baadhi ya wachina kununua/endesha magari yanayo undwa kutoka mataifa mengine wewe hilo linakushangaza nini, tulio bahatika kutembelea mataifa ya wenzetu mbona kwa mfano miji ya Uingereza wenyeji wanaendesha magari ya kutoka Japan, Italy,Ujerumani,Spain na former Yugoslavia nk - unataka kusema magari yanayo zalishwa nchini Uingereza ni inferior ndio maana wenyeji wana prefer foreign vehicles kuliko domestic stuff? Ukitembelea miji ya Ujerumani trend ni hiyo hiyo including miji ya huko Merikani - bottom line is: baadhi ya watu kupendelea kununua magari ya nje akumaanishi magari yanayo zalishwa ndani ya nchi hayafahi, unabeza beza mpaka magari ya kichina yanayo tumiwa na Polisi,hukoje lakini?
 
Hayo ni makampuni ya West yameweka manufacturing China na South Asian Countries.

Mchina feki feki sana. Hata hizo trucks na buses zao ni za miaka mitatu ukimaliza tupa kule.

Linganisha Yutong au Zhongtong na Marcopolo au Irizar, FAW au Howo na Scania au Benz.

China ni feki feki.
 
Tembea uone rafiki. Dunia imebadilika.
Hii hapa ndio market share ya January 2021
Kampuni ya kwanza ni ya China. Halafu hesabu kampuni ngapi za USA na Kampuni ngapi za China
View attachment 1736028

Telsa ni zaidi ya makampuni yote diniani, yaani kusanya mapuni yote duniani kuwa moja bado telsa ni baba lao
 
Yaani wewe mbumbumbu ndio wa kunieleza chochote. 😀 😀😀
Anachokiongea FRANC THE GREAT yuko sawa 100%,wewe hakuna kitu unajua zaidi ya kuweka screenshot za google,kumbe hujui uko google pia ameandika mjinga mwenzio wewe unaenda ku copy tu halafu unaita watu mbumbumbu kumbe wewe ndio bado mjinga.
 
Hayo ni makampuni ya West yameweka manufacturing China na South Asian Countries.

Mchina feki feki sana. Hata hizo trucks na buses zao ni za miaka mitatu ukimaliza tupa kule.

Linganisha Yutong au Zhongtong na Marcopolo au Irizar, FAW au Howo na Scania au Benz.

China ni feki feki.
Jamaa anabisha kwa facts lkn ww unabisha bisha tuu kwa kuwa umekaririshwa.
 
Back
Top Bottom