Makampuni makubwa ya EV China

Makampuni makubwa ya EV China

Rafiki, hizi takwimu ulizoambatanisha hapa hazijitoshelezi!

Isitoshe, hicho kitu cha kwanza hapo ambacho ni SGMW sio kampuni. SGMW ni muunganiko wa kampuni zaidi ya moja, kwa lugha nyingine tunaita joint venture. Hiki hufanyika sana katika masuala ya kibiashara.

SGMW ni joint venture ambapo ndani yake kuna kampuni za China pamoja na kampuni ya uzalishaji magari ya Kimarekani inayofahamika kama General Motors. Ndio maana ya uwepo wa "GM" katikati ya hiyo abbreviation.

SGMW si kampuni ya China na wala si kampuni kabisa. Katika sekta ya EV kwa sasa, Tesla inasimama kama kampuni binafsi yenye market share kubwa zaidi duniani.
Fanya utafiti
Na unatakiwa ujue masuala ya biashara JV siyo mbaya, maana share holder wakubwa ni wachina.
Halafu SGMW unaposema siyo company ni kitu gani!?
Sijajua unachotaka kusema hapa.
Tesla is not the only company produces EV

Mimi huwa naongea na evidences
Screenshot_20210327-205149.png
 
Unawajua shareholders wa Tesla!?
Screenshot_20210327-211331.png
 
Fanya utafiti
Na unatakiwa ujue masuala ya biashara JV siyo mbaya, maana share holder wakubwa ni wachina.
Halafu SGMW unaposema siyo company ni kitu gani!?
Sijajua unachotaka kusema hapa.
Tesla is not the only company produces EV

Mimi huwa naongea na evidences
View attachment 1736067
SGMW sio company bali ni ushirika wa kampuni zaidi ya moja (joint venture). Kuna kitu gani ambacho hakijaeleweka hapo?

SGMW ni ushirika wa kampuni mbili za Kichina na moja ya Kimarekani (General Motors). Pia, kitu gani ambacho hakijaeleweka hapo?

Ni wewe sasa ambaye unahitajika kufanya utafiti. Tafuta kitu kinachofahamika kama General Motors Global Manufacturing System (GM-GMS). Huu ndio mfumo wa uzalishaji magari unaotumiwa na SGMW, ambao ni mfumo wa uzalishaji wa kampuni ya Kimarekani ya General Motors.
 
Tatizo lako hujui hata aina ya makampuni.
Halafu unasema ushirika.
Nenda shule kajifunze aina ya makampuni. Huwa najisikia vibaya sana mtu anapojifanya mjuaji kumbe hajui.
Screenshot_20210327-225153.png
 
Tesla ni publicly listed company (PLC). SGMW ni joint venture. Unaelewa utofauti hapo?
Kwa PLC haiwezi kuwa JV. Hebu ondoa ushamba wako bhana. Hujui issue za business. Kaa kimya unajiaibisha.
Do you know the meaning of JV company!?
Nenda DSE kaangalie companies ambazo zipo listed.
 
California ni global powerhouse when it comes to EV technology, manufacturing and consumption.

Hapo ndipo ilipo kampuni kubwa zaidi ya EV duniani in terms of market share. Namaanisha Tesla, Inc.

The sillicon valley California
 
Tembea uone aisee achana na akili za kizamani dunia imebadilika.

Na wewe acha kuwa mbishi kama mchicha mwiba
California ndio makao makuu ya issues zote zinazohusu technology kuanzia google apple facebook na stuffs kibao mitaa ya sillicon valley kwenye mji wa San Francisco
 
Na wewe acha kuwa mbishi kama mMuchicha mwiba
California ndio makao makuu ya issues zote zinazohusu technology kuanzia google apple facebook na stuffs kibao mitaa ya sillicon valley kwenye mji wa San Francisco
Kinacho zungumzwa hapa ni manufacturing of Electric Vehicles - sio masuala ya semiconductor fabrication ambayo Silcon Valley ndio vinara.

Watu wanao beza beza Uchina wanakuwa driven tu na ushabeki husio na mantiki, to them the World is America!! Mambo yanavyo elekea ndani ya miaka mitano China ndio itakuwa inaongoza katika uundaji wa EV including mabasi na high speed electric trains zinazo uzika sana Duniani.

Eleon Musk alilazimika sana kuwekeza Uchina kwa kujenga kiwanda cha kuunda EV aina ya TESLA kama mbinu moja wapo ya kudhibiti kasi ya Uchina katika uundaji wa EV, lakini mambo yanavyo elekea naona Musk atapata wakati mgumu katika harakati zake za kutaka kuwapiku Wachina katika biashara ya uundaji na uuzaji wa EV Duniani, binafsi naona ingekuwa ni vema kama E. Musk angewekea mkazo kwenye biashara yake yenye fahida kubwa inayo husu uundaji wa carrier rockets i.e aendeleze biadhara yake kwenye masuala ya space exploration kuliko biashara ya uundaji wa magari ya EV, hivi sasa USA ikubali kwamba Uchina imekwisha shindikana katika nyanja nyingi za kisayansi na teknolojia licha ya kupigwa vita vya chini chini vya kiuchumi na USA Administration, ingekuwa ni vema kama USA na Uchina wangeshirikiana katika nyanja za sayansi na teknolojia kuliko kuhujumiana kiuchumi. Hayo ni maoni yangu.
 
Tatizo lako hujui hata aina ya makampuni.
Halafu unasema ushirika.
Nenda shule kajifunze aina ya makampuni. Huwa najisikia vibaya sana mtu anapojifanya mjuaji kumbe hajui.
View attachment 1736173
SGMW ni ushirika wa kampuni tatu tofauti (joint venture). Hili halihitaji hata kwenda business school.

Maneno "ushirika wa kampuni" yanakushinda kuyaelewa? Nikikuambia nawe uende shule ukajifunze lugha (Kiswahili) nitakuwa nimekosea?

Ushirika wa kampuni ama partnership agreements kama ilivyo joint venture ni aina mojawapo ya business entities. Unafahamu hilo? Nikikuambia nawe uende shule ukajifunze aina za business entities nitakuwa nimekosea?

Joint venture na company ni terms mbili zinazohusiana kibiashara lakini ni vitu viwili vinavyo tofautiana sana hususani katika masuala ya kisheria ukizingatia kila nchi ina sheria zake when it comes to business entities.
 
Kwa PLC haiwezi kuwa JV. Hebu ondoa ushamba wako bhana. Hujui issue za business. Kaa kimya unajiaibisha.
Do you know the meaning of JV company!?
Nenda DSE kaangalie companies ambazo zipo listed.
Joint venture na JV company ni vitu viwili tofauti. Publicly listed company (Tesla Motors) na joint venture (SGMW) pia ni vitu viwili tofauti kwenye masuala ya business enterprises.

Ndio maana unajisikia vibaya kujadili, ni kwa sababu ya kuchanganya mambo. Unatumia nguvu kubwa kunifukuza na kuninyamazisha, umeshindwa kujenga hoja kama mtu mwenye ufahamu katika masuala husika?

Una ufahamu wa kiasi gani kuhusiana na mchakato wa uundwaji wa joint venture kibiashara? Ukoje?

N.B. Jitahidi kuwasilisha majibu kama mtu mwenye maarifa!
 
Kinacho zungumzwa hapa ni manufacturing of Electric Vehicles - sio masuala ya semiconductor fabrication ambayo Silcon Valley ndio vinara.

Watu wanao beza beza Uchina wanakuwa driven tu na ushabeki husio na mantiki, to them the World is America!! Mambo yanavyo elekea ndani ya miaka mitano China ndio itakuwa inaongoza katika uundaji wa EV including mabasi na high speed electric trains zinazo uzika sana Duniani.

Eleon Musk alilazimika sana kuwekeza Uchina kwa kujenga kiwanda cha kuunda EV aina ya TESLA kama mbinu moja wapo ya kudhibiti kasi ya Uchina katika uundaji wa EV, lakini mambo yanavyo elekea naona Musk atapata wakati mgumu katika harakati zake za kutaka kuwapiku Wachina katika biashara ya uundaji na uuzaji wa EV Duniani, binafsi naona ingekuwa ni vema kama E. Musk angewekea mkazo kwenye biashara yake yenye fahida kubwa inayo husu uundaji wa carrier rockets i.e aendeleze biadhara yake kwenye masuala ya space exploration kuliko biashara ya uundaji wa magari ya EV, hivi sasa USA ikubali kwamba Uchina imekwisha shindikana katika nyanja nyingi za kisayansi na teknolojia licha ya kupigwa vita vya chini chini vya kiuchumi na USA Administration, ingekuwa ni vema kama USA na Uchina wangeshirikiana katika nyanja za sayansi na teknolojia kuliko kuhujumiana kiuchumi. Hayo ni maoni yangu.

Mbona uchina ameanza kulialia kwenye issue ya magari ya tesla au mwenzangu hujazinyaka bado?!
 
Kwani na hii issue ya kuwa the world is america unapingana nayo
 
SGMW ni ushirika wa kampuni tatu tofauti (joint venture). Hili halihitaji hata kwenda business school.

Maneno "ushirika wa kampuni" yanakushinda kuyaelewa? Nikikuambia nawe uende shule ukajifunze lugha (Kiswahili) nitakuwa nimekosea?

Ushirika wa kampuni ama partnership agreements kama ilivyo joint venture ni aina mojawapo ya business entities. Unafahamu hilo? Nikikuambia nawe uende shule ukajifunze aina za business entities nitakuwa nimekosea?

Joint venture na company ni terms mbili zinazohusiana kibiashara lakini ni vitu viwili vinavyo tofautiana sana hususani katika masuala ya kisheria ukizingatia kila nchi ina sheria zake when it comes to business entities.
Unaandika maneno mengi wakati hujui chochote.
Ungekuwa unaweka maneno yako na evidences ingesaidia sana. Tatizo lako hujui. Unaropoka tu na unazi. Ukiwa hujui kitu uwe unakubali kufundishwa.
Unajiaibisha bure.

Nimekuwekea aina ya Makampuni bado ubapiga kelele tu.
Kujifanya unajua kitu wakati hujui ni upumbavu.
Screenshot_20210328-083505.png
 
Back
Top Bottom