Mji wa SanFransisco kule marekani umekumbwa na tatizo la ukosefu mkubwa wa usalama kiasi cha kuyalazimu baadhi ya makampuni makubwa kufunga office zao zilizoko huko
Ukosefu wa usalama kwa kiasi kikubwa umesababishwa na ongezeko kubwa la watu wasio na makazi(homeless) hali iliyochangiwa na ongezeko la kodi ya pango
Inasemekana kwa sasa gharama ya pango hapo San Fransisco zi zaidi ya $3000 kwa mwezi
Mpaka dakika hii taarifa inakufikia unaambiwa mji umejaa vinyesi na mikojo ya mahomless wanaokojoa na kunya mahali popote kama mabata na mpaka sasa imewalazimu watengenezaji wa app kutengeneza app inayowasaidia watu kutokukanyaga vinyesi barabarani wakati wa usiku