Makampuni makubwa yaanza kuukimbia mji wa San Fransisco

Makampuni makubwa yaanza kuukimbia mji wa San Fransisco

IMG_6334.jpg

IMG_6333.jpg

IMG_6331.jpg
 
Watu wajuaji for nothing kama nyie nawachukia sana, ww unaulizwa nini maana ya silcon valey unazidi tu kujichimbia et ipo San Francisco. Una akiri kweli au na ww unatokea kanda ya magharibi
Acha ujinga wewe. Hujui Google mpaka uwe unabweka hapa? Pumbavu.
 
Mji wa SanFransisco kule marekani umekumbwa na tatizo la ukosefu mkubwa wa usalama kiasi cha kuyalazimu baadhi ya makampuni makubwa kufunga office zao zilizoko huko

Ukosefu wa usalama kwa kiasi kikubwa umesababishwa na ongezeko kubwa la watu wasio na makazi(homeless) hali iliyochangiwa na ongezeko la kodi ya pango


Inasemekana kwa sasa gharama ya pango hapo San Fransisco zi zaidi ya $3000 kwa mwezi

Mpaka dakika hii taarifa inakufikia unaambiwa mji umejaa vinyesi na mikojo ya mahomless wanaokojoa na kunya mahali popote kama mabata na mpaka sasa imewalazimu watengenezaji wa app kutengeneza app inayowasaidia watu kutokukanyaga vinyesi barabarani wakati wa usiku
Akina dayadipora hawakosekani hapo😀😀
 
Wako Busy kusema wanasaidia Ukraine si wachukue hela hizo wasafishie mji na zingine wajengee majengo homeless yao?

Elon Musk anataka kuinunua Twitter halafu baadae anataka kuigeuza Nyumba ya makao makuu ya TWITTER KUWA makazi ya watu wasiokuwa na nyumba [ HOMELESS}.

Anasema kwasababu wafanyakazi wote wa TWITTER wanaweza kufanya kazi toka nyumbani kwao hakuna sababu ya kuwa na makao makuu!
 
Back
Top Bottom