Makampuni makubwa yaanza kuukimbia mji wa San Fransisco

Silicon valley ipo sanfransisco. Hakuna namna makampuni makubwa yataondoka kule. Sanasana hao wahalifu watatolewa kwa speed ya ajabu.
Watu wajuaji for nothing kama nyie nawachukia sana, ww unaulizwa nini maana ya silcon valey unazidi tu kujichimbia et ipo San Francisco. Una akiri kweli au na ww unatokea kanda ya magharibi
 
Watu wajuaji for nothing kama nyie nawachukia sana, ww unaulizwa nini maana ya silcon valey unazidi tu kujichimbia et ipo San Francisco. Una akiri kweli au na ww unatokea kanda ya magharibi
Acha ujinga wewe. Hujui Google mpaka uwe unabweka hapa? Pumbavu.
 
Akina dayadipora hawakosekani hapo😀😀
 
Wako Busy kusema wanasaidia Ukraine si wachukue hela hizo wasafishie mji na zingine wajengee majengo homeless yao?

Elon Musk anataka kuinunua Twitter halafu baadae anataka kuigeuza Nyumba ya makao makuu ya TWITTER KUWA makazi ya watu wasiokuwa na nyumba [ HOMELESS}.

Anasema kwasababu wafanyakazi wote wa TWITTER wanaweza kufanya kazi toka nyumbani kwao hakuna sababu ya kuwa na makao makuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…