Makampuni ya mikopo mitandaoni

Usikasirike mdogo wangu, sindano inauma ila ndio dawa inaingua hivyo.
 
wewe utakuwa mwajiriwa wa hizi kampuni baada ya serikali kuzifuta hizi kampuni naona kibarua chako kimeota nyasi
 
wewe utakuwa mwajiriwa wa hizi kampuni baada ya serikali kuzifuta hizi kampuni naona kibarua chako kimeota nyasi
Watu wanavusha hadi magari kinyemera bandarini bila kulipa ushuru sembuse mimi kuajiliwa kampuni hizo na sina chochote.
 
Usikasirike mdogo wangu, sindano inauma ila ndio dawa inaingua hivyo.
πŸ˜‚ jambo usilojua sawa na usiku wa kiza tu, nilikasirika mwanzo ila baada ya kuona aina ya comments zako ahhhhh sijisumbui tena.
 
Nalipa kodi wewe hulipi kodi halafu unasema nina mchango mdogo, makinika kijana.

Tafuta mishe ulipe kodi ndio uje tuzungumze mambo ya michango kwa taifa.
πŸ˜‚ kodi gani unalipa, maana hata mimi kodi nalipa ila tofauti ni aina tu ndo maana nikakwambia nyuma akili yako ndogo sana kwenye kupembua mambo. Endelea sumbuliwa na majamaa πŸ˜‚ maana mmoja mwajiliwa mwingine mteja haina noma life liendee sidhani mtu yupo na life lake la kueleweka anawaza kusumbuana na mikopo ya 15,000 we njaa tu zitakuua πŸ˜‚
 
Sawa, ila ndo mtukopeshe 50 mtudai 80 ndan ya siku 7?
πŸ˜‚ the problem wengi huzani mdai ndo mkopeshaji hizo hela 50 hadi 80, wao wanapata kishare kidogo tu kama bonuses na payments maana zile hata si salaries na ni wafanyakazi tu kama wengine ila kazi yao ni simu na message na ndo zinawalipa sasa kwa experience yangu kuna wateja bn wao wanajikutaga masikini jeuri akiongeleshwa kaja juu hapo ndo hua inaanza mnatuma mameseji πŸ˜‚ mnatafuta watu wangu! Ila nipo sure kwa wale wateja hata kama hana hela akaelekez vizuri tu hua anasikilizwa ni wachache sana hawatoelewa, ila sioni hata faida ya kuzitoa maana kama zile 96 zilizofungiwa okay tuseme kila moja ilikua na wafanyakazi basi 30 ni more than vijana 2000 wamepoteza vibarua, je serikali ina pakuwapeleka, kwanini kampuni za betting hazijafungiwa ila zimewapoteza vijana wengi? Hizo banks watu wanasema riba kidogo zinawakopesha? πŸ˜‚ kwa hizo riba ndogo, kwanini kama ni muathirika usicheze vikoba huko ukapata mikopo kwa riba nafuu tena muda wa uhakika, mimi kama kijana naejua taabu ya kuata ajira ukiachana na vijana wa connection na kula kwa mama naona hawajamaa wanastahili endesha biashara zao ila tu kwa kubadilisha taratibu zao, ikiwa pamoja na kustandardize hizo riba, viasi na pamoja na muda, pia waangalie namna nzuri ya kutoa mikopo si kwa mafedhuri.
 
Nadhan kuna kitu hapa hujaelewa. Jamaa wamefungiwa sababu hawana leseni. Kampuni za betting unazozisema wanaleseni. Kwenye nchi yenye utawala wa kisheria huwezi kuendesha vitu kiholela.
 
Nadhan kuna kitu hapa hujaelewa. Jamaa wamefungiwa sababu hawana leseni. Kampuni za betting unazozisema wanaleseni. Kwenye nchi yenye utawala wa kisheria huwezi kuendesha vitu kiholela.
Hilo naelewa sana na ndio maana wakatoa list hawajasema zimefungiwa zote au ni marufuku biashara hiyo nchini hio hawajasema.
 
Nadhan kuna kitu hapa hujaelewa. Jamaa wamefungiwa sababu hawana leseni. Kampuni za betting unazozisema wanaleseni. Kwenye nchi yenye utawala wa kisheria huwezi kuendesha vitu kiholela.
Hilo naelewa sana na ndio maana wakatoa list hawajasema zimefungiwa zote au ni marufuku biashara hiyo nchini hio hawajasema
 
Huwezi saidiwa na mkopo ambao riba ni 50% huo ni uongo.
 
Kijana umejinasibu kua wewe ni jobles, unachangia vipi pato la serikali ilhali huingizi chochote.

Kuna nyuzi kibao humu wadau wakilalamika kuhusu hiyo mikopo yenu umiza, au ni mgeni wa jiji wewe?
 
πŸ˜‚ jambo usilojua sawa na usiku wa kiza tu, nilikasirika mwanzo ila baada ya kuona aina ya comments zako ahhhhh sijisumbui tena.
Kijana kumbe ulienda kunisoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kijana hii jf utapasuka nyongo bure kalaghabaho.

Pambana upate ajira au pa kujishkiza kwanza ili usiwe na makasiriko hovyo hovyo
 
Kijana umejinasibu kua wewe ni jobles, unachangia vipi pato la serikali ilhali huingizi chochote.

Kuna nyuzi kibao humu wadau wakilalamika kuhusu hiyo mikopo yenu umiza, au ni mgeni wa jiji wewe?
Kuwa jobless? Kwani unajua soma au hujui rudia tena afu nioneshe hapo mahali nimesema hivo. Kodi halipi mwajiriwa tu ongeza level yako ya elimu.
 
Issue ni kufuata utaratibu uliowekwa kisheria. Wanaohitaji mikopo midogo midogo ni wengi sana, wakifuata utaratibu wakapata leseni, wakatoa riba zinazolipika, watu watakopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…