Tunaamini ukila ukashiba na akili inalala,, Kama elimu yako ndogo, masikini na matapeli ndo hawatowaelewa hawa watu ukitaka jua sifa ya mtu hohehahe ni kuwachukia hawa jamaa.
Wakati najitafuta niliwahi pita na kupewa kibarua na kampuni zao wameajiriwa vijana wengi wanajipatia chochote cha kujitafuta mjini, wabongo wengi wanafikiri hizo riba wanapigwa jamaa wanakula wao ila wanacost nyingi za kuoperate biashara zao ikiwemo muhimu za kutoa fursa za ajira kwa vijana
Pengine ndugu zetu, watanzania wanapenda vitu za bure sana, sijaelewa vita za nini hutaki kopa siupite kushoto kakope kwa baba na mama yako hakuna riba, betting wako hapo wanawaliza vijana ndo watanzania wameweka meno huko, [emoji23] kweli masikini wanaroho mbaya sana kuna mtu alikua akipost hivi nilikia namtafsiri vibaya ila as days go hii naiprove.
Jambo muhimu ni makampuni kufata taratibu za kisheria. Ila huwezi ambia kampuni ipige interest rate kwa asilimia saw na bank, ni maajabu kumbuka bank ina operate tofauti kabisa na microfinance na wala mabank hayategemei hizo riba kama main source ya kugenerate income, wakati microfinance nyingi ndo macho yao yapo hapo? Ukiacha utapeli na roho ya kimasikini hawa jamaa utawaelewa... Au mtoto wako siku akifuka njaa mjini.