Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
- Thread starter
-
- #41
Vishu Mtata na hii ndio reality ila kwakua unaakilindogo na umejaa akili za wivu na kitapeli.... Jiongezee level yako ya elimu uweze kuelewa mambo kifasaha sio kukalili na kucomment nonsense kwenye kila post za wanaume. Next nakuja kukupa somo la kodi nalo bado hujui kitu.Issue ni kufuata utaratibu uliowekwa kisheria. Wanaohitaji mikopo midogo midogo ni wengi sana, wakifuata utaratibu wakapata leseni, wakatoa riba zinazolipika, watu watakopa.
Bwanamdogo ulikua unamtumikia mchina kutukana watu walipe madeni tu, kodi nazielewa vilivyo bwanamdogo.Vishu Mtata na hii ndio reality ila kwakua unaakilindogo na umejaa akili za wivu na kitapeli.... Jiongezee level yako ya elimu uweze kuelewa mambo kifasaha sio kukalili na kucomment nonsense kwenye kila post za wanaume. Next nakuja kukupa somo la kodi nalo bado hujui kitu.
Kumbe bwanamdogo ni short temper namna hiyo ππ.Sioshida yako sikulaumu
Umefika huku πKumbe bwanamdogo ni short temper namna hiyo ππ.
Yaah nakuona tu, unawaka chap kwa harakaUmefika huku π