Makampuni ya mikopo mitandaoni

Makampuni ya mikopo mitandaoni

Issue ni kufuata utaratibu uliowekwa kisheria. Wanaohitaji mikopo midogo midogo ni wengi sana, wakifuata utaratibu wakapata leseni, wakatoa riba zinazolipika, watu watakopa.
Vishu Mtata na hii ndio reality ila kwakua unaakilindogo na umejaa akili za wivu na kitapeli.... Jiongezee level yako ya elimu uweze kuelewa mambo kifasaha sio kukalili na kucomment nonsense kwenye kila post za wanaume. Next nakuja kukupa somo la kodi nalo bado hujui kitu.
 
Bwanamdogo ulikua unamtumikia mchina kutukana watu walipe madeni tu, kodi nazielewa vilivyo bwanamdogo.

Kuweka mazingira sawa ya kukopesha kibongobongo ni ngumu, na ukizingatia hizo microfinance za mitandaoni hamna kitu wanategemea zaidi ya hizo riba, lazima riba zitakua juu tu.
Ndio maana akawaajiri mforce watu walipe, bila hivyo mbongo halipi.
 
Back
Top Bottom