Makampuni ya mikopo mitandaoni

Makampuni ya mikopo mitandaoni

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Tunaamini ukila ukashiba na akili inalala,, Kama elimu yako ndogo, masikini na matapeli ndo hawatowaelewa hawa watu ukitaka jua sifa ya mtu hohehahe ni kuwachukia hawa jamaa.

Wakati najitafuta niliwahi pita na kupewa kibarua na kampuni zao wameajiriwa vijana wengi wanajipatia chochote cha kujitafuta mjini, wabongo wengi wanafikiri hizo riba wanapigwa jamaa wanakula wao ila wanacost nyingi za kuoperate biashara zao ikiwemo muhimu za kutoa fursa za ajira kwa vijana

Pengine ndugu zetu, watanzania wanapenda vitu za bure sana, sijaelewa vita za nini hutaki kopa siupite kushoto kakope kwa baba na mama yako hakuna riba, betting wako hapo wanawaliza vijana ndo watanzania wameweka meno huko, 😂 kweli masikini wanaroho mbaya sana kuna mtu alikua akipost hivi nilikia namtafsiri vibaya ila as days go hii naiprove.

Jambo muhimu ni makampuni kufata taratibu za kisheria. Ila huwezi ambia kampuni ipige interest rate kwa asilimia saw na bank, ni maajabu kumbuka bank ina operate tofauti kabisa na microfinance na wala mabank hayategemei hizo riba kama main source ya kugenerate income, wakati microfinance nyingi ndo macho yao yapo hapo? Ukiacha utapeli na roho ya kimasikini hawa jamaa utawaelewa... Au mtoto wako siku akifuka njaa mjini.
 
Sio kuishi kwa mikopo, kuajiriwa na hizo kampuni.

Bila shaka wewe ulikua muajiriwa wa hizo hela fasta, mkopo wako and the likes
Kwani shida iko wapi au unataka niajiri naajirika na yeyote hata ningeajiriwa na BOT kuzifungia pia ningefanya kazi hiyo kwani kuna shido au unataka niajiri?
 
Tatizo hawapo serious na kazi zao utapeli imekuwa ni moja ya mkopo
Kinamna gani mkuu? raia ndio wanawatapeli wao na si wao wanatapeli raia au kuwatafuta wale watu wa mkopaji ndu unaita utapeli??? Ukipinda lazima uone unatapeliwa labda suluhisho kuongeza muda wa marejesho maana mda wao mfupi kulinganisha na kiasi basi ila mbongo alipe bila shuruti ni wachache sana hasa wengi wafanya business zao na wengi wanakwambia sometimes zinawasaidia lakini wachukua mikopo ya kubeti, ulevi, kuonga na njaa ahhh watalia kutapeliwa daily 😂 sijui kivipi?
 
Tatizo la hizi kampuni ni namna wanavyozalilisha wadeni wao

Kiukweli kuna text wanatuma unaona kabisa hii sio sawa ata kama wanamdai huyu mtu

Imagine kuna text niliwahi kutumiwa wanamzalilisha jamaa ni shoga na bla bla kibao kisa wanamdai
 
Kwani shida iko wapi au unataka niajiri naajirika na yeyote hata ningeajiriwa na BOT kuzifungia pia ningefanya kazi hiyo kwani kuna shido au unataka niajiri?
Shida kwa sasa inabaki kwako kwa kutokua na ajira ila hapo mwanzo ninyi vijana mlitweza sana utu wa watu.
 
Shida kwa sasa inabaki kwako kwa kutokua na ajira ila hapo mwanzo ninyi vijana mlitweza sana utu wa watu.
Kwani nimekuomba ajira mzee 😂 wewe mwenyewe msakatonge sina ajira ila sitwezwi huo utu unasema wewe wala sisumbuani na makampuni ya mikopo mtandaoni,kwani unadhani ntakufa njaa, make unaongea kama walikuumiza sana tafuta hela wacha kopakopa na kushindwa lipa wenzio wanaenjoy na makampuni wenye hela wewe njaa unakopa ukale na kubeti lazima wakutweze fatilia wanaolipa wanalalamikia riba na siku si kutwezwa masikini ndo wanatwezwa kama wewe.
 
Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.
Sasa siku kampuni imefunga na BOT, kumbembe kikaanza, hana mafao, hana akiba. Kwakua kazi yake inaendana sana na utapeli basi akajitupa huko ..

Angalia usije kua tapeli kijana.
 
Kila mtu sio choko kama mdogo ako wala wewe sijatusi watu nimetoa mawazo yangu ila wewe na akili zako za kirofa kwa kuwa umeathirika na huko na kudharirishwa na madeni sugu basi unamawazo ya kichawi tu maisha hayafanani tafuta yako kwanza afu zingatia ya watu. Njaa zako usinletee hapa nimehitaji positive feedbacks sio uchawi wako huo na bichwa hilo.
 
Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.
Sasa siku kampuni imefunga na BOT, kumbembe kikaanza, hana mafao, hana akiba. Kwakua kazi yake inaendana sana na utapeli basi akajitupa huko ..

Angalia usije kua tapeli kijana.
Sema akili yako ndogo sana madogo wanaofanya kazi huko ni matapeli kivipi au ndo umekalili matapeli kama wewe ufanyavyo kazi za watu na wao ndo wanafanya kazi za watu vile vile ila wewe tapeli kwa bahati mbaya limekukuta jambo unarejesha mzigo wa lawama nadhani kwanza akili yako hata iwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.
Sasa siku kampuni imefunga na BOT, kumbembe kikaanza, hana mafao, hana akiba. Kwakua kazi yake inaendana sana na utapeli basi akajitupa huko ..

Angalia usije kua tapeli kijana.
Sema nimepitia baadhi ya uzi unazocomment nishaelewa shida ipo wap 😂 ni vijana wenye mchango mdogo sana katika Taifa.
 
Back
Top Bottom