Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi
Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi.
Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu, yamepandisha gharama za vifurushi vya mawasiliano na data hali iliyoibua taharuki kwa watumiaji tangu wiki iliyopita hadi sasa.
Licha ya serikali kutoa tamko likizitaka mamlaka za simu nchini kuacha mipango hiyo na kurejesha gharama za awali, BADO wananchi wameendelea kulalamika wakidai baadhi ya makampuni yamebaki na gharama hizi mpya hali inayoendelea kuwakera watumiaji wa mitandao hiyo.
Kwa Waraka huu, naishauri mamlaka ya mawasiliano nchini kujirishisha juu ya mwelekezo yaliyotolewa kwa kampuni za simu Ili zisiendelee kuumiza watanzania
"It's always impossible until it's completely done"
Think big, be the best person you'd like to see, serve the Publics.
👉❤️🇹🇿💪