Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Ndugu Mtej, Tunapenda kukujulisha kuwa huduma ya intaneti imerejea kwenye kasi yake. Endelea kufurahia huduma za halotel. Asante!
Hawajatoa hata mb 1
 
2 GB only
Nadhani thamani hiyo inategemea na mtumiaji alikuwa anatumia kiasi gani kabla ya changamoto kutokea
 
Leo nimepewa au nimezawadiwa mb246 sijajua huenda ndo fidia hiyo
FB_IMG_17114357974664434.jpg
 
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao.

Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle walizokutana nazo.

Hizo fidia za bundle zitaanza baada ya huduma kurekebishwa, wamesema ndani ya wiki hii tatizo litakuwa limeisha.

Kila laini itapata GB 10, hata kama una laini 5 basi ukijumlisha utakuwa na GB 50.

Wekeni simu zenu chaji, neema inakuja.
HII NDO ILIYOMPIGISHA bAN HUYU MWAMBA?
 
Back
Top Bottom