Flava90s
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 309
- 495
Hawawezi kuthubutu kufanya hivyo.
Wakijikaza sana basi ni MB 200 ama la, kila mmoja arudishiwe kiwango cha MB alichokuwa nacho wakati tatizo likitokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kuthubutu kufanya hivyo.
Wakijikaza sana basi ni MB 200 ama la, kila mmoja arudishiwe kiwango cha MB alichokuwa nacho wakati tatizo likitokea.
HMkuu vp ubongo wako nao umeathirika kwa kukatika kwa hizo nyaya?
Sema gesi ya mtwara. Kikweta huyo kila mtu atakuwa na coasterYaleyale ya makinikia kila mmoja atapata Noah wengine tukachagua hadi rangi kabisa!
😀 Yaani Hayo Makampuni ya Simu ndio Wamewaambia tatizo Linaisha Wiki Hii?Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao.
Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle walizokutana nazo.
Hizo fidia za bundle zitaanza baada ya huduma kurekebishwa, wamesema ndani ya wiki hii tatizo litakuwa limeisha.
Kila laini itapata GB 10, hata kama una laini 5 basi ukijumlisha utakuwa na GB 50.
Wekeni simu zenu chaji, neema inakuja.