Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Voda staki hata kuangalia salio maana wasije nistukia. Ila sijapata sms yeyote, ingawa kwa kifurushi kilicho kuwemo jana kilitakiea kiwe kimeisha naona naendelea kuperuz mitandaoni.Mtandao gani
Yaani watoke kwenye hasara halafu waendelee kupata hasaraNyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao.
Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle walizokutana nazo.
Hizo fidia za bundle zitaanza baada ya huduma kurekebishwa, wamesema ndani ya wiki hii tatizo litakuwa limeisha.
Kila laini itapata GB 10, hata kama una laini 5 basi ukijumlisha utakuwa na GB 50.
Wekeni simu zenu chaji, neema inakuja.
Nilijua tu, mtu anayelilia GB 10 sio bureeeeni kweli sina gari, sijui kudrive wala sina leseni.
chombo cha moto ninachomiliki ni pasi ya umeme.
bongo hakuna kitu kama hicho labda ingekuwa south koreaNyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao.
Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle walizokutana nazo.
Hizo fidia za bundle zitaanza baada ya huduma kurekebishwa, wamesema ndani ya wiki hii tatizo litakuwa limeisha.
Kila laini itapata GB 10, hata kama una laini 5 basi ukijumlisha utakuwa na GB 50.
Wekeni simu zenu chaji, neema inakuja.
Ukitembea uchi upo tayari kuguswa tyakko lako??Ndoto za asubuhi asubuhi hizi.
Wakijitahidi sana watatoa 500MB za kutumika ndani ya masaa 24... Watoe GB 10 Nape si atatembea uchi Dodoma nzima.