Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Nyepesi nyepesi;

Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao.

Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bandle walizokutana nazo.

hizo fidia za bandle zitaanza baada ya huduma kurekebishwa.
wamesema ndani ya wiki hii tatizo litakuwa limeisha.

kila laini itapata GB 10, hata kama una laini 5 basi ukijumlisha utakuwa na GB 50.

wekeni simu zenu chaji, neema inakuja...
Halafu watazirudisha .yaani unaweza kuta baada ya situ tatu bando limeisha
 
Kuna ulazima gani wao kutoa hizo gb?

Yaani ni sawa na mie nafanya biashara ya kuuza maji nyumbani kwangu, siku dawasco wakate maji na kusababisha ukosefu wa maji mtaa mzima, halafu siku yakirudi niseme nitawafidia ndoo moja moja mtaa mzima kutokana na shida iliyojitokeza
 
Back
Top Bottom